Hadi saa 12 na nusu jioni; Mgombea wa Urais wa CHADEMA anasubiriwa kwenye Mkutano Moshi Mjini

Hadi saa 12 na nusu jioni; Mgombea wa Urais wa CHADEMA anasubiriwa kwenye Mkutano Moshi Mjini

Fya-fyafya

Member
Joined
May 2, 2019
Posts
43
Reaction score
125
Ratiba ya mkutano wa mgombea Uraisi wa CHADEMA asubiliwa mkutanoni viwanja vya Mashujaa hadi saa kumi na mbili na nusu jioni.

Inasemekana msafara wake toka Rombo umekuwa ukisimamishwa njiani na wananchi.

 
Ratiba ya mkutano wa mgombea Uraisi wa CHADEMA asubiliwa mkutanoni viwanja vya Mashujaa hadi saa moja kumi na mbili jioni. Inasemekana msafara wake toka Tombo umekuwa ukisimamishwa njiani na wananchi.
Kamwambieni lowasa ,mahaba ndio haya sasa.
Yale yake tulikuwa bado tunajifunza mapenz ila hapa ni mahaba mazito
 
CCM wanalegea naona wanapiga magoti sasa na bado.
Wameshalegea wanaosha hadi masufuria ya wananchi yaani!
JamiiForums312469786.jpg
JamiiForums472601843.jpg
 
LEO MOSHI MJINI PALIKUA HAPAFAI NAONA UWANJANI KULIJAA MPAKA MAGARI YAKABADILISHA NJIA.
JAPO WALIONDOA BENDERA ZOTE ZA CHADEMA NA PICHA ZA WAGOMBEA WA CHADEMA LAKINI LEO WAMEGUNDUA PICHA WALA VITAMBAA HAVIPIGI KURA. KURA ZINAPIGWA NA WANANCHI.
MOSHI MJINI LEO CCM WALIKUA WAPOLE SANA.
 
Back
Top Bottom