Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa mtoto wa nyumbani...Kuna taarifa nimepata kutoka kwa jamaa yangu singida ambazo ni mbaya Sana Tena Sana kwa Magufuli na CCM yake.
Wana Jambo lao ambalo litaweka rekodi kwa vizazi na vizazi!
Hii itakuwa tofauti na Magufuli aliyekataliwa kwao mchana kweupe!Kwa mtoto wa nyumbani...
Yani mtu na akili zako unawaza Lisu kushinda urais?Hili nililiwaza tangu jana mkuu.
Kama kuna 'kamati ya ushindi' ipo active,Basi hili suala waanze kulishughulikia mapema.
'Mshindani' yeyote,kwenye kinyang'anyiro chochote anawaza kushinda!Yani mtu na akili zako unawaza Lisu kushinda urais?
Hata Lipumba anawaza kushinda, ila uhalisia unauonaje?'Mshindani' yeyote,kwenye kinyang'anyiro chochote anawaza kushinda!
Labda umuulize Magufuli Kama anawaza kushinda au kushindwa.?
Lipumba Ni 'mke mdogo' wa Magufuli, obviously akishindwa Magu na Professeri analala njaa!Hata Lipumba anawaza kushinda, ila uhalisia unauonaje?
Point yako ni ipi sasa hapa?Lipumba Ni 'mke mdogo' wa Magufuli, obviously akishindwa Magu na Professeri analala njaa!