Hadi saa 12 na nusu jioni; Mgombea wa Urais wa CHADEMA anasubiriwa kwenye Mkutano Moshi Mjini

Hadi saa 12 na nusu jioni; Mgombea wa Urais wa CHADEMA anasubiriwa kwenye Mkutano Moshi Mjini

Nasikia kwamba TL aliitwa na amekataa wito. Sasa wakimfyeka asilie lie kama katoto kalikokosa lawa lawa Tanzania kuna sheria ambazo wote waliojaza fomu za kugombea wanazifuata.
 
Sioni haja ya Lissu kuendelea na kampeni.
Anachotakiwa kufanya Ni kampeni ya kuzuia goli la Mkono tu.
Hili nililiwaza tangu jana mkuu.

Kama kuna 'kamati ya ushindi' ipo active,Basi hili suala waanze kulishughulikia mapema.
 
Nasikia kwamba TL aliitwa na amekataa wito. Sasa wakimfyeka asilie lie kama katoto kalikokosa lawa lawa Tanzania kuna sheria ambazo wote waliojaza fomu za kugombea wanazifuata.
Achana na habari za 'kusikia sikia' Kama 'shangingi' flani yupo saloon akijipodoa.

Na ndiyo maana TL amepuuzia hizo habari za 'kusikiasikia'!

Haikushangazi??
 
Nasikia kwamba TL aliitwa na amekataa wito. Sasa wakimfyeka asilie lie kama katoto kalikokosa lawa lawa Tanzania kuna sheria ambazo wote waliojaza fomu za kugombea wanazifuata.
Ni baba mpumbavu pekee kama stone anayeweza kusifiwa kwa kumnunulia mkewe Iphone X lakini aliacha mwanae akafa kwa kukosa laki moja ya matibabu. Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ibara ya 8[1](a) inasema "Lengo kuu la serikali litakuwa ni ustawi wa (wananchi) WATU sio ustawi wa VITU. Asomaye na afahamu.!
 
Umesikia wapi?
Nasikia kwamba TL aliitwa na amekataa wito. Sasa wakimfyeka asilie lie kama katoto kalikokosa lawa lawa Tanzania kuna sheria ambazo wote waliojaza fomu za kugombea wanazifuata.
 
Moshi mjini wametisha..hata Diamond,davido,burna boy nk hawawezi kujaza huu uwanja.View attachment 1585906

Daah hadi nywele zimesisimka na kusimama yani, siyo kwa vibe hilo la moshi aisee!
Naona historia inaenda kuandikwa, sijui wataficha wapi aibu hao swineswine, maana kama ni kuiba za moshi haziibiki kabisa yani!
 
Ratiba ya mkutano wa mgombea Uraisi wa CHADEMA asubiliwa mkutanoni viwanja vya Mashujaa hadi saa kumi na mbili na nusu jioni.

Inasemekana msafara wake toka Rombo umekuwa ukisimamishwa njiani na wananchi.

LEO MOSHI MJINI PALIKUA HAPAFAI NAONA UWANJANI KULIJAA MPAKA MAGARI YAKABADILISHA NJIA.
JAPO WALIONDOA BENDERA ZOTE ZA CHADEMA NA PICHA ZA WAGOMBEA WA CHADEMA LAKINI LEO WAMEGUNDUA PICHA WALA VITAMBAA HAVIPIGI KURA. KURA ZINAPIGWA NA WANANCHI.
MOSHI MJINI LEO CCM WALIKUA WAPOLE SANA.
Safi sana
 
Huko ulikosoma.
Kama Kuna MTU Alikudanganya Akakwambia Chadema Imekufa, Nikuambie Sasa Mimi Nimeshuhudia Chadema Iko Mioyoni Mwa Watu, Aseee.

Kwa taarifa yake huyo mpuuzi aliyetoa kauli hiyo ya kidwanzi, ataanza kufa yeye na Chadema ataiacha ikizidi kustawi.
 
Back
Top Bottom