Fya-fyafya
Member
- May 2, 2019
- 43
- 125
Kamwambieni lowasa ,mahaba ndio haya sasa.Ratiba ya mkutano wa mgombea Uraisi wa CHADEMA asubiliwa mkutanoni viwanja vya Mashujaa hadi saa moja kumi na mbili jioni. Inasemekana msafara wake toka Tombo umekuwa ukisimamishwa njiani na wananchi.
Wameshalegea wanaosha hadi masufuria ya wananchi yaani!CCM wanalegea naona wanapiga magoti sasa na bado.
CCM wanalegea naona wanapiga magoti sasa na bado.
Ni dharau mbaya sana kumwita Mheshimiwa Raisi kupiti vyombo vya habari. Mahera hajitambui kabisaHivi ule wito wa Mahela NEC umeishia wapi?