Mwambie tarehe 28/10/2020 Watanzania wengi wana jambo lao.Ratiba ya mkutano wa mgombea Uraisi wa CHADEMA asubiliwa mkutanoni viwanja vya Mashujaa hadi saa kumi na mbili na nusu jioni.
Inasemekana msafara wake toka Rombo umekuwa ukisimamishwa njiani na wananchi.
https://www.facebook.com/
Hakuna watu wanafki ulimwenguni kama wagombea baadhi wa maccm.Wameshalegea wanaosha hadi masufuria ya wananchi yaani!View attachment 1585882View attachment 1585883
Everything is under control.Sioni haja ya Lissu kuendelea na kampeni.
Anachotakiwa kufanya Ni kampeni ya kuzuia goli la Mkono tu.
Hili nililiwaza tangu jana mkuu.Sioni haja ya Lissu kuendelea na kampeni.
Anachotakiwa kufanya Ni kampeni ya kuzuia goli la Mkono tu.
Achana na habari za 'kusikia sikia' Kama 'shangingi' flani yupo saloon akijipodoa.Nasikia kwamba TL aliitwa na amekataa wito. Sasa wakimfyeka asilie lie kama katoto kalikokosa lawa lawa Tanzania kuna sheria ambazo wote waliojaza fomu za kugombea wanazifuata.
Lowassa alikuwa anachunwa tu sidhani Kama kulikuwa na MahabaKamwambieni lowasa ,mahaba ndio haya sasa.
Yale yake tulikuwa bado tunajifunza mapenz ila hapa ni mahaba mazito
Ni baba mpumbavu pekee kama stone anayeweza kusifiwa kwa kumnunulia mkewe Iphone X lakini aliacha mwanae akafa kwa kukosa laki moja ya matibabu. Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ibara ya 8[1](a) inasema "Lengo kuu la serikali litakuwa ni ustawi wa (wananchi) WATU sio ustawi wa VITU. Asomaye na afahamu.!Nasikia kwamba TL aliitwa na amekataa wito. Sasa wakimfyeka asilie lie kama katoto kalikokosa lawa lawa Tanzania kuna sheria ambazo wote waliojaza fomu za kugombea wanazifuata.
Nasikia kwamba TL aliitwa na amekataa wito. Sasa wakimfyeka asilie lie kama katoto kalikokosa lawa lawa Tanzania kuna sheria ambazo wote waliojaza fomu za kugombea wanazifuata.
Huko ulikosoma.Umesikia wapi?
Moshi mjini wametisha..hata Diamond,davido,burna boy nk hawawezi kujaza huu uwanja.View attachment 1585906
Ananafasi gani mpaka uamini hivo mkuuKuna taarifa nimepata kutoka kwa jamaa yangu singida ambazo ni mbaya Sana Tena Sana kwa Magufuli na CCM yake.
Wana Jambo lao ambalo litaweka rekodi kwa vizazi na vizazi!
Intellejensia na utafiti wa kina.
htr sana,atabaki kuwa juuEeee bhana eeeee !!
Ratiba ya mkutano wa mgombea Uraisi wa CHADEMA asubiliwa mkutanoni viwanja vya Mashujaa hadi saa kumi na mbili na nusu jioni.
Inasemekana msafara wake toka Rombo umekuwa ukisimamishwa njiani na wananchi.
https://www.facebook.com/
Safi sanaLEO MOSHI MJINI PALIKUA HAPAFAI NAONA UWANJANI KULIJAA MPAKA MAGARI YAKABADILISHA NJIA.
JAPO WALIONDOA BENDERA ZOTE ZA CHADEMA NA PICHA ZA WAGOMBEA WA CHADEMA LAKINI LEO WAMEGUNDUA PICHA WALA VITAMBAA HAVIPIGI KURA. KURA ZINAPIGWA NA WANANCHI.
MOSHI MJINI LEO CCM WALIKUA WAPOLE SANA.
Kama Kuna MTU Alikudanganya Akakwambia Chadema Imekufa, Nikuambie Sasa Mimi Nimeshuhudia Chadema Iko Mioyoni Mwa Watu, Aseee.Huko ulikosoma.