Hadi sasa derby ya Kariakoo tarehe 25, Yanga anaongoza 2-0 nje ya uwanja

Makavuli

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2024
Posts
1,953
Reaction score
2,536
Kisaikolojia mbumbumbu wamepigwa knock out ya kushtukiza ambayo imewaacha wakiwa Awana la kufanya!
Viongozi wao ni juzi tu wametoa kipeperushi cha kutokucheza mechi endapo itaghairishwa ya trh 15,,lakini kabla jogoo ajawika bodi ikatangaza kughairisha mechi na kupeleka trh 25!
Sasa viongozi wao wamepata kigugumizi watarudi na swaga Gani nyingine kuwaambia mashabiki mechi aipo kesho!
Isitoshe waliowabeba mgongoni trh 8 wameanza kuachia ngazi Mmoja baada ya mwingine icho nacho ni kipengele kingine!
Kisaikolojia Simba kaanza kufungwa nje ya uwanja kabla ya trh 25 na yanga ndio karudi kwenye mood ya kuitaka mechi kwa nguvu zote!
HII TUNACHEZA HAINA KIPENGELE🤣🤣
 
HII NDIO TAFSIRI SAHIHI YA DAIMA MBELE NYUMA MWIKO!! Dar Youg Africa ni kipimo cha msimamo wa KIUME sio kufa tu ndio kuwe kufa kiume hata mapambano haya ya kiume hassa
 
Kisaikolojia mbumbumbu wamepigwa knock out ya kushtukiza ambayo imewaacha wakiwa Awana la kufanya!
Viongozi wao ni juzi tu wametoa kipeperushi cha kutokucheza mechi endapo itaghairishwa ya trh 15,,lakini kabla jogoo ajawika bodi ikatangaza kughairisha mechi na kupeleka trh 25!
Sasa viongozi wao wamepata kigugumizi watarudi na swaga Gani nyingine kuwaambia mashabiki mechi aipo kesho!
Isitoshe waliowabeba mgongoni trh 8 wameanza kuachia ngazi Mmoja baada ya mwingine icho nacho ni kipengele kingine!
Kisaikolojia Simba kaanza kufungwa nje ya uwanja kabla ya trh 25 na yanga ndio karudi kwenye mood ya kuitaka mechi kwa nguvu zote!
HII TUNACHEZA HAINA KIPENGELE🤣🤣
Simba haipaswi kuwa na sababu zozote za kugomea mechi ya tar 25 iliyopelekwa mbele.

Simba haikupaswa kusema haitocheza mchezo mwingine nje ya wa tarehe 15 sababu misingi ya kukataa kwao kucheza mechi ilikuwa kuzuiwa mazoezi sasa shida ipo wapi hata mechi ikapangwa miaka 8 ijayo kwa mbwembwe za kisiasa?

SIMBA ICHEZE.
NA KAMA VIONGOZI WANA AKILI WAKAE MBALI NA SIASA.
 
Attachments

  • FB_IMG_1749875076989.jpg
    FB_IMG_1749875076989.jpg
    34.5 KB · Views: 34
Back
Top Bottom