Leo tunaanza na mazoezi pale Kwa mkapa tuna barua ya wizaraKuna mtu anacheza kesho kwani?
Kwa hio mkishamaliza mazoezi kesho mnacheza na nani?Leo tunaanza na mazoezi pale Kwa mkapa tuna barua ya wizara
Na Bodi ya Ligi.Kikubwa tupate point tatu za utoKwa hio mkishamaliza mazoezi kesho mnacheza na nani?
Bodi ya Ligi Bodi ipi wakati Bodi yote imevunjwaNa Bodi ya Ligi.Kikubwa tupate point tatu za uto
Simba haipaswi kuwa na sababu zozote za kugomea mechi ya tar 25 iliyopelekwa mbele.Kisaikolojia mbumbumbu wamepigwa knock out ya kushtukiza ambayo imewaacha wakiwa Awana la kufanya!
Viongozi wao ni juzi tu wametoa kipeperushi cha kutokucheza mechi endapo itaghairishwa ya trh 15,,lakini kabla jogoo ajawika bodi ikatangaza kughairisha mechi na kupeleka trh 25!
Sasa viongozi wao wamepata kigugumizi watarudi na swaga Gani nyingine kuwaambia mashabiki mechi aipo kesho!
Isitoshe waliowabeba mgongoni trh 8 wameanza kuachia ngazi Mmoja baada ya mwingine icho nacho ni kipengele kingine!
Kisaikolojia Simba kaanza kufungwa nje ya uwanja kabla ya trh 25 na yanga ndio karudi kwenye mood ya kuitaka mechi kwa nguvu zote!
HII TUNACHEZA HAINA KIPENGELE🤣🤣
Watu wawili wakijiuzuru waliobaki hawafiki 11?Bodi ya Ligi Bodi ipi wakati Bodi yote imevunjwa
Bodi imevunjwa yote Mnguto kajiachia Kasongo kapigwa Pin tunasubiria Karia kujivua madaraka tu ndicho kilichobakiaWatu wawili wakijiuzuru waliobaki hawafiki 11?
Barua iko wap ya bodi kuvunjwa au unatumia mihemko?Bodi imevunjwa yote Mnguto kajiachia Kasongo kapigwa Pin tunasubiria Karia kujivua madaraka tu ndicho kilichobakia
Sio lazima barua Bodi yote hatuitakiBarua iko wap ya bodi kuvunjwa au unatumia mihemko?
Wakacheze sasa na barua ya wizara🤣🤣Leo tunaanza na mazoezi pale Kwa mkapa tuna barua ya wizara
Na Bodi ya Ligi.Kikubwa tupate point tatu za uto
Duuh ila nyie kiboko😂😂Wakacheze sasa na barua ya wizara🤣🤣