Uchaguzi 2020 Hadi sasa kimkakati CHADEMA wameizidi CCM

CCM itashinda kwa kishindo sana japo itashinda kwa wizi wa kura.
 
Good observation ingawa haibadili ukweli kuwa CCM wamefanya mikutano mingi zaidi kuliko chama chochote, mgombea wao kila wilaya au centre kubwa anasimama na kuhutubia tofauti na vyama vingine ambavyo vinaenda mkoa kwa mkoa.
 
CCM sina tatizo nayo ila hili Lijiwe bin magufuli, nalichukia hili li Rais ni hakuna mfano wake sijui kwa nini!!! japo limefanya mengi mazuri ila moyoni silipendi, nahisi kutapika, kuugua hivi!! kila likijipitisha kujinadi na kufanya campaign, hawezi kushinda hata robo ya kura hapati nataka iwe ivo! na imeshakuwa! Nikitamka ni kweli! sitaki life ila lione cha moto lijue kuwa na renyewe ni ri binadamu!
 
Ndugu campaign ndio imeanza tuna kama siku 50 zimebaki, tusijisifu na hali ndio tuko AB.

Mbio za sakafuni zaishia ukingoni
 
Kwani kunamwaka CCM wameacha kutumia mabango. Au wewe huu ni uchaguzi wako aa kwanzaee. Tangu mwaka 2000 ma bango kila sehemu tu.
 
Duh!
 
Walikuwa fiesta au mkutano wa siasa
 
Nani kasema Chadema wasiweke mabango wasitangazwe kwenye TV, hata wakitaka TV gani itakubali, ninachosema pamoja na kunyimwa access hizo zote bado wanaenda sambamba na CCM wenye access hizo.
Hawaendi Samamba Bwena Wewe Nyie mapita Mijini tu Magu Anafanya Mikutano 10 kwa siku Tundu mmoja iyo Sambamba yakoo ikoje
 
Hawaendi Samamba Bwena Wewe Nyie mapita Mijini tu Magu Anafanya Mikutano 10 kwa siku Tundu mmoja iyo Sambamba yakoo ikoje
Leo kafanya mingapi, kama ni kusimama barabarani na kusalimia watu hata Mbowe anasalimia.
 
Zaidi ya nusu yao wakiwa wanafunzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…