Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
CCM itashinda kwa kishindo sana japo itashinda kwa wizi wa kura.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani kunamwaka CCM wameacha kutumia mabango. Au wewe huu ni uchaguzi wako aa kwanzaee. Tangu mwaka 2000 ma bango kila sehemu tu.CCM kama imewatupa magwiji wa siasa Abdulhaman Kinana, Nnape Moses Nnauye na January Makamba, then lazima mikutano yao ya kampeni idode sana.
Na pale kidogo wanapoonekana kuhema, basi ndo utambue kuwa wametumia nguvu na pesa nyingi sana kuliko kawaida.
Hapa Shinyanga na siku mbili tatu zilizopita nilikuwa Tabora, utashangaa jinsi ambavyo mgombea wao amechafua mandhari ya miji hii kwa kubandika mipicha mikubwa mikubwa yenye sura mbaya ya mgombea wao.
Kwa ufupi wanatumia fedha nyingi sana tena za wizi kutoka ktk hazina ya nchi.
Ni wazi kuwa fedha wanayotumia kwenye kampeni hizi ni ile 1.5trn na pesa za mauzo ya vitambulisho vya wamachinga a.k.a wajasiriamali!
Huu ni uthibitisho kuwa chama hiki kinaishi kwa taabu na kamba iliyokining'iniza kukipa pumzi ya mwisho inaweza kukatika wakati wowote.
Hahaha alienda kubweka pale magu. WakamzomKwa hiyo?
Ben SananeKwa hiyo?
Duh!CCM sina tatizo nayo ila hili Lijiwe bin magufuli, nalichukia hili li Rais ni hakuna mfano wake sijui kwa nini!!! japo limefanya mengi mazuri ila moyoni silipendi, nahisi kutapika, kuugua hivi!! kila likijipitisha kujinadi na kufanya campaign, hawezi kushinda hata robo ya kura hapati nataka iwe ivo! na imeshakuwa!!!! nikitamka ni kweli! sitaki life ila lione cha moto lijue kuwa na renyewe ni ri binadamu!!
KakufeKwa hiyo?
Walikuwa fiesta au mkutano wa siasaNapenda sana chadema mnavyojipa moyo,
kwa taarifa yako kampeni ya mkoa mmoja aliyofanya magufuri ni sawa na mikutano yenu yote chadema iliyofanya katika kanda zote mpaka sasa. CCM ni chama kubwa nadhani leo umeiona vizuri mwanza. CCM KIRUMBA hakukuwa na sehemu ya kutema mate ndani na nje acha kule gola milimani.
Sahihi kkabisaAnayeona kuwa CCM wapo sawa vichwani mwao naye ni zezeta pia.
Mabango kila sehemu utadhani ni mara yake ya kwanza kugombea watu hawamjui.Kwani kunamwaka CCM wameacha kutumia mabango. Au wewe huu ni uchaguzi wako aa kwanzaee. Tangu mwaka 2000 ma bango kila sehemu tuu.
Hawaendi Samamba Bwena Wewe Nyie mapita Mijini tu Magu Anafanya Mikutano 10 kwa siku Tundu mmoja iyo Sambamba yakoo ikojeNani kasema Chadema wasiweke mabango wasitangazwe kwenye TV, hata wakitaka TV gani itakubali, ninachosema pamoja na kunyimwa access hizo zote bado wanaenda sambamba na CCM wenye access hizo.
Leo kafanya mingapi, kama ni kusimama barabarani na kusalimia watu hata Mbowe anasalimia.Hawaendi Samamba Bwena Wewe Nyie mapita Mijini tu Magu Anafanya Mikutano 10 kwa siku Tundu mmoja iyo Sambamba yakoo ikoje
Tulia sindano iingie [emoji382][emoji382]Kwa hiyo?
Hhahahahhaaa Mbowe Anagombea Mini IviLeo kafanya mingapi, kama ni kusimama barabarani na kusalimia watu hata Mbowe anasalimia.
Ndo hivyo!!!Kwa hiyo?
Zaidi ya nusu yao wakiwa wanafunzi.Napenda sana chadema mnavyojipa moyo,
kwa taarifa yako kampeni ya mkoa mmoja aliyofanya magufuri ni sawa na mikutano yenu yote chadema iliyofanya katika kanda zote mpaka sasa. CCM ni chama kubwa nadhani leo umeiona vizuri mwanza. CCM KIRUMBA hakukuwa na sehemu ya kutema mate ndani na nje acha kule gola milimani.
Duuu watashinda kwa wizi wa KURA,,, KWANI HAWAWEZI KUDHIBITIWA,,Ccm itashinda kwa kishindo sana japo itashinda kwa wizi wa kura
Ndio Maneno yenuu kila Uchaguzii ebeni na nyieDuuu watashinda kwa wizi wa KURA,,, KWANI HAWAWEZI KUDHIBITIWA,,