Uchaguzi 2020 Hadi sasa kimkakati CHADEMA wameizidi CCM

Uchaguzi 2020 Hadi sasa kimkakati CHADEMA wameizidi CCM

Good observation ingawa haibadili ukweli kuwa CCM wamefanya mikutano mingi zaidi kuliko chama chochote, mgombea wao kila wilaya au centre kubwa anasimama na kuhutubia tofauti na vyama vingine ambavyo vinaenda mkoa kwa mkoa.
 
CCM sina tatizo nayo ila hili Lijiwe bin magufuli, nalichukia hili li Rais ni hakuna mfano wake sijui kwa nini!!! japo limefanya mengi mazuri ila moyoni silipendi, nahisi kutapika, kuugua hivi!! kila likijipitisha kujinadi na kufanya campaign, hawezi kushinda hata robo ya kura hapati nataka iwe ivo! na imeshakuwa! Nikitamka ni kweli! sitaki life ila lione cha moto lijue kuwa na renyewe ni ri binadamu!
 
Ndugu campaign ndio imeanza tuna kama siku 50 zimebaki, tusijisifu na hali ndio tuko AB.

Mbio za sakafuni zaishia ukingoni
 
CCM kama imewatupa magwiji wa siasa Abdulhaman Kinana, Nnape Moses Nnauye na January Makamba, then lazima mikutano yao ya kampeni idode sana.

Na pale kidogo wanapoonekana kuhema, basi ndo utambue kuwa wametumia nguvu na pesa nyingi sana kuliko kawaida.

Hapa Shinyanga na siku mbili tatu zilizopita nilikuwa Tabora, utashangaa jinsi ambavyo mgombea wao amechafua mandhari ya miji hii kwa kubandika mipicha mikubwa mikubwa yenye sura mbaya ya mgombea wao.

Kwa ufupi wanatumia fedha nyingi sana tena za wizi kutoka ktk hazina ya nchi.

Ni wazi kuwa fedha wanayotumia kwenye kampeni hizi ni ile 1.5trn na pesa za mauzo ya vitambulisho vya wamachinga a.k.a wajasiriamali!

Huu ni uthibitisho kuwa chama hiki kinaishi kwa taabu na kamba iliyokining'iniza kukipa pumzi ya mwisho inaweza kukatika wakati wowote.
Kwani kunamwaka CCM wameacha kutumia mabango. Au wewe huu ni uchaguzi wako aa kwanzaee. Tangu mwaka 2000 ma bango kila sehemu tu.
 
CCM sina tatizo nayo ila hili Lijiwe bin magufuli, nalichukia hili li Rais ni hakuna mfano wake sijui kwa nini!!! japo limefanya mengi mazuri ila moyoni silipendi, nahisi kutapika, kuugua hivi!! kila likijipitisha kujinadi na kufanya campaign, hawezi kushinda hata robo ya kura hapati nataka iwe ivo! na imeshakuwa!!!! nikitamka ni kweli! sitaki life ila lione cha moto lijue kuwa na renyewe ni ri binadamu!!
Duh!
 
Napenda sana chadema mnavyojipa moyo,
kwa taarifa yako kampeni ya mkoa mmoja aliyofanya magufuri ni sawa na mikutano yenu yote chadema iliyofanya katika kanda zote mpaka sasa. CCM ni chama kubwa nadhani leo umeiona vizuri mwanza. CCM KIRUMBA hakukuwa na sehemu ya kutema mate ndani na nje acha kule gola milimani.
Walikuwa fiesta au mkutano wa siasa
 
Nani kasema Chadema wasiweke mabango wasitangazwe kwenye TV, hata wakitaka TV gani itakubali, ninachosema pamoja na kunyimwa access hizo zote bado wanaenda sambamba na CCM wenye access hizo.
Hawaendi Samamba Bwena Wewe Nyie mapita Mijini tu Magu Anafanya Mikutano 10 kwa siku Tundu mmoja iyo Sambamba yakoo ikoje
 
Hawaendi Samamba Bwena Wewe Nyie mapita Mijini tu Magu Anafanya Mikutano 10 kwa siku Tundu mmoja iyo Sambamba yakoo ikoje
Leo kafanya mingapi, kama ni kusimama barabarani na kusalimia watu hata Mbowe anasalimia.
 
Napenda sana chadema mnavyojipa moyo,
kwa taarifa yako kampeni ya mkoa mmoja aliyofanya magufuri ni sawa na mikutano yenu yote chadema iliyofanya katika kanda zote mpaka sasa. CCM ni chama kubwa nadhani leo umeiona vizuri mwanza. CCM KIRUMBA hakukuwa na sehemu ya kutema mate ndani na nje acha kule gola milimani.
Zaidi ya nusu yao wakiwa wanafunzi.
 
Back
Top Bottom