Hadi sasa Rais Samia ndiye bora zaidi, anafanya kila kitu kwa ustadi mkubwa

Kwani hizi kodi haziwahusu wafanyakazi!!?
Mfanyakazi anakamuliwa PAYE kwenye mshahara, akienda kununua anakamuliwa VAT, akilipia LUKU anakamuliwa tozo, akituma mwamala kijijini anakutana na tozo, akienda kujaza mafuta kwenye gari anakutana na tozo......miaka saba hakuna daraja wala nyongeza ya mshahara, ni muda mwafaka kwa wafanyakazi wa nchi hii kupindua meza, na huo uwezo wanao.........
 
Mradi mpya wa Samia ni kukusanya tozo tu, hiyo miradi nimesema ni ya Magufuli kwasababu Samia ameirithi na Magufuli alikuwa akiiendesha bila kukusanya hizi tozo, sijui unasifia kitu gani hapo.
Alikuwa anapora kwa wafanyabiashara Sasa hakuna kupora kila mtu atachangia
 
Hata mm nimefurahia kila mtu achangie japo haijatoa nafuu kwa mfanyakazi
 
Kuna tofauti gani hii tozo na ile twenty ya Machinga ya Mwendazake
Nasubiri ufafanuzi kama ule Lisu alio tufumbuwa wakati wa kampeni
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Eti SGR ni ya Kikwete [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tuombe msamaha. Billion hizo unaleta uzi hapa kweli?
 
Hata mm nimefurahia kila mtu achangie japo haijatoa nafuu kwa mfanyakazi
PAYE iondolewe au ibaki asilimia moja au mbili, ili mfanyakazi achangie VAT na tozo kama wengine wote........hii ya kufyeka mshahara wa mfanyakazi kwenye PAYE ni kumdidimiza from day one....
 


Hayaa njoo uone ugoro wa mama yetu anaongea kidogo tu! siku zote mama wakambo hana maneno mengi neno moja tu home lazima upaone pachungu
 
Akili mgando kama hizi huwa mnakaa kwa mashemeji.
 
Japo mimi ni mwanaccm, ila we jamaa ni mpumabvu na mdini sana!
Nasema hivyo kwa sababu kwenye uchaguzi uliopita ukijiapiza utaingia barabarani na kuua mtu kama Lisu na chadema hawatatangazwa kushinda,.

Inavyoonekana kinachokufanya umsifie huyu mama ni kwasababu ni mwenzako katika imani basi.
 
Wananchi hatupingi kulipa kodi, wasi wasi wetu ni kwamba, hizi tozo zitafanya kazi iliyokusudiwa kama jinsi vile mtangulizi wake alikuwa anafanya kusimamia fedha za walipa kodi kutekeleza kile kilichokusuxiwa?
Ama ni ile waendelee kujineemesha wao na Familia zao na kuruka angani tu kwa kodi za walala hoi?
Hadi sasa inavyoonekana Samia hana uwezo wa kusimamia fedha za serikali na ndipo mwanya kwa wapigaji upo nje nje kukwapua maburungutu ya minoti ya walala hoi, tofaut kabisa na mtangulizi wake,
Hana Kauli ya utiisho kwa watendaji wake na wanamchukulia kama bibi yao tu kutoka makunduchi[emoji1787],
Miradi mingi tu sasa hivi imestack haiendi kwa kasi ile, mfano mzuri tu SGR kipande cha Dar - Moro tuliambiwa at end of Aguast tunaaanza kupata SGR kwenda Moro lkn bahati mbaya hadi sasa bado lile daraja toka Station ya dar to pugu haijakamilika, hapo ndipo ujue hizo pesa zinaliwa tu na hao watekelezaji wake aliowaamini hko Kwenye mazahanati anayaoyapanga kuyajenga,
Kiufupi Samia hii kazi kwke ni amejitwika zigo asiloliweza kabisa,
Alipaswa aachie tu wazee wa kazi akubali shoo za mmewe na kujipodoa na kutoka out za ng'ambo akajivinjali kujiopolea madanga hko Akina bilgate na Trump tu
 
Alikuwa anapora kwa wafanyabiashara Sasa hakuna kupora kila mtu atachangia
Hao wafanyabiashara waliokuwa wanaporwa fedha za kuendeleza miradi mikubwa ya thamani ya trilion walikuwa wangapi? nyie misukule ndio mizigo ya hili taifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…