Hadi sasa Rais Samia ndiye bora zaidi, anafanya kila kitu kwa ustadi mkubwa

Yaweza kuwa kweli, itakuwa karudishwa kwenye kiyoyozi sasa ni mwendo wa mapambio.

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
Huyu bwege alikuwa halali usiku kucha anamkosoa Magufuli hata kwa mambo ambayo hayastahili kukosolewa.

Barabara zikijengwa anakosoa, hospitali zikijengwa anakosoa.

Leo anasifia tozo. Eti zikajenge hospitali! Kheee!!

Unyumbu raha kweli. Mtu haeleweki anahitaji nini maishani. Yupo yupo tu!
 
Ebo hata haibu huna, hakuna jipya
 
Kuna mwana CCM haimaanishi kila jambo ni kusifia tu. Sijui nyie baadhi ya wana CCM huwa mnafikiria kwa kutumia nini sijui.
 
Kama vilijengwa kwa nini sasahivi hayo maeneo hayana zahanati na vituo vya Afya?
Sikusema wamejenga kila kijiji kila kata
Hata hizi zinazotaka kujengwa ni kumalizia walipoishia wale waliotangulia..
 
n
ndo shida ya kua na makada wa ccm humu mbona mna magrup yenu ya vyama lakini watu maumivu haya jaisha ya tozo mara kodi nyumba mbolea bei bidha za viwandani za vyakula kama mafuta ya kula sabuni chunvi sukari unga wa ngano nk cha ajabu SODA na BIA SIGARA bei iko chini bei za mzao chini pembejeo juu
 
Kwani kikwete alivojenga shule za sekondari kila kata aliongeza makato kwenye mitandao!??

Nyie mnachangisha hela kila mtu alaf kwnye wilaya moja mnaishia kujenga tena boma, la zahanati moja!!!!?

Shame on you
 
Sasa hao marais ambao hawakufanya hivyo mbona waliacha vituo vya afya vinavyojitosheleza? nyie sindio mnalalamikaga kwamba miaka 60 ya uhuru lakini dawa hakuna hospitalini? sasa mnataka dawa zitoke wapi na kodi hamtaki kulipa
Kwaion unafikiri tunaishi free hatulipi kodi yani, !!!
 
Wapi nilimkosoa Magufuli kwa kujenga miundombinu? Ugomvi wangu na Magufuli ulikuwa kwenye kuteka na kuua wakosoaji wake tu! Ulizidi kipimo pale shambulio dhidi ya Tundu Lissu lilipofanyika
 
Wapi nilimkosoa Magufuli kwa kujenga miundombinu? Ugomvi wangu na Magufuli ulikuwa kwenye kuteka na kuua wakosoaji wake tu! Ulizidi kipimo pale shambulio dhidi ya Tundu Lissu lilipofanyika
Alimuua nani? Una ushahidi?
 
Kwani kikwete alivojenga shule za sekondari kila kata aliongeza makato kwenye mitandao!??

Nyie mnachangisha hela kila mtu alaf kwnye wilaya moja mnaishia kujenga tena boma, la zahanati moja!!!!?

Shame on you
Kikwete alitumia mikopo na misaada, Samia anatumia zaidi mapato ya ndani ( Kodi na Tozo) ni ubunifu mzuri zaidi
 
Nashangaa sababu umekosa consistency mkuu..
Mimi nilijua tatizo la Tanzania ni mifumo kumbe huwa ni mtu
Hilo jamaa nyumbu mno.

Ndio maana mimi huwa niko makini sana na watu wanaoikosoa serikali. Mara nyingi huwa wana ajenda zao binafsi.

Unaweza kufikiri mtu anaikosoa serikali kwa maslahi mapana ya umma, kumbe ni wakala wa mabeberu au pengine amekosa tu ulaji.

Wengine wanakosoa serikali kwa sababu genge lao limekosa madaraka ndani ya serikali. Wengine ni insurgents tu na wahaini.

Kama huyu nyumbu alikuwa anamkosoa Magufuli kweli kweli, halali usiku kucha ni kumtukana mzee.

Mara ghafla anasifia tozo za mia mia kwenye miamala. Ati zinajenga sipitali!

Eboooo!!!???
 
Bado hawajaweka wazi zilizopigwa na wajanja kama kawaida. Watuambie pia wajanja wamepiga ngapi so far kutoka kwenye makato ya wanyonge?
 
Ben Saanane, Rwabaje aliamuru Tundu Lissu auawe
Jinga kweli wewe.

Ndio maana wanawatandika risasi za vichwa.

Hata mimi ningekuwa magufuli ningeagiza watu kama wewe mtiwe shaba mlazwe chini haraka haraka.

Huwezi kuongoza nyumbu wachache wasiojua wanataka nini!

Unalazwa chini tu ukileta upumbafu.
 
Miaka yote tumejenga hosp,vituo vya afya,shule, barabara na majengo ya utawala bila hizo tozo huku watu wakufanya ufisadi wa kutisha.

Leo hizi tozo haziwezi kuwa njema kwa wananchin zaidi ya unyang'anyi tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…