Hadi sasa Rais Samia ndiye bora zaidi, anafanya kila kitu kwa ustadi mkubwa

Hadi sasa Rais Samia ndiye bora zaidi, anafanya kila kitu kwa ustadi mkubwa

Kwani huduma nzuri napata bure ?

Natumia ela yangu au kodi yangu kupata hyo huduma..
kwa akili yako unafikiri thamani ya uendeshaji wa kituo cha afya inafidiwa na hela wanazotoa wagonjwa?
 
Kwa aina ya magonjwa ya karne ya hii vituo vya afya havifai kabisa
 
Samia hadi sasa anaongoza kwa kudanga tu, kila mwezi lazima akadange,
Mwezi ujao naskia anaenda kutafta danga jipya[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kama kwa kudanga ndo tunapata haya mambo mazuri basi ni vizuri
 
Japo mimi ni mwanaccm, ila we jamaa ni mpumabvu na mdini sana!
Nasema hivyo kwa sababu kwenye uchaguzi uliopita ukijiapiza utaingia barabarani na kuua mtu kama Lisu na chadema hawatatangazwa kushinda,.

Inavyoonekana kinachokufanya umsifie huyu mama ni kwasababu ni mwenzako katika imani basi.
Weka ushahidi kuwa Mimi ni mdini! Kwa taarifa yako Mimi ni Mkristo mkatoliki
 
Lord nakujua kuwa wewe ni mmoja wa washauri wa karibu wa mama. Umechangia sana kumpotosha. Umeshiriki kumpotosha kwa mradi wa Bandari ya Bagamoyo kwa kuwa una masilahi binafsi kule. Kwa mwananchi wa kawaida tozo ni mzigo mkubwa usiobebeka!
Mie mkulima Niko RUVUMA nakuwaje mshauri wa Mama ndugu yangu?

Kuhusu Bandari ya Bagamoyo msimamo wangu haukuwahi kubadilika. Naunga mkono ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo Kwa sababu ni mradi utakaoleta mapinduzi makubwa ya kiuchumi na kutengeneza ajira nyingi kwa wananchi wetu.
 
Lengo la media ya Jana ya Mwigulu na Mawaziri wenzake lilikuwa hilo kuwaamanisha wajinga kama nyie kuwa hizo tozo ni muhimu zaidi ziendelee kuwepo.
Sasa kama tozo hizo ndio zimejenga hivyo vituo 90 vya afya shida inatoka wapi?
 
Ulichokisema kina reflect reality kwa 100%, kuna watu wana-entertain mambo ya udini na uzanzibari sana-kuna watu wanamsifia samia kwa sababu ni mzanzibari mwenzao na pia ni muislam mwenzao na hawataki mtu wa aina yeyote whether ni member wa CCM,opposition,au bara amkosoe kitu ambacho ni very wrong.
Nani kamsifia Samia kwa sababu ni muislam mwenzake? Au Mzanzibar mwenzake.
Mie ni mtanganyika Mkatoliki
 
Fanya tukio la kihalifu uthibitishe kuwa nchi haina kiongozi hii ipo kwenye autopilot.

Unataka nani alipe kodi?

Hii nchi tuliziua biashara za kati ambazo ndizo zinazoajiri na kulipa kodi, tuliwakamua kodi bila kujali na wanyonge kushangilia ili wote wawe mashetani.

wafanyakazi waliopo ni wachache, biashara ni chache ni wakati sasa kila mnyonge achangie kidogo tu ili serikali ikisema tunataka kodi basi kila mmoja aelewe serikali inamaanisha nini. TULIPE KODI hali ikitengamaa biashara zikarudi wanyonge mtaachwa.
Umesema kweli tupu.Wengi wanaolalamika,walikuwa hawalipi kodi ,ndio hao wanaolalamika.Wapo watu,wanaojifanya hawana kipato,kumbe biashara zao ndogo ndogo,zinaingiza kuliko mwenye biashara kubwa,ambaye ana madeni ,na mikopo mingi ya Benki.
 
Kwa miradi hii Kama ndo inamaanisha nchi iko kwenye auto pilot basi ni sawa iwe kwenye auto pilot hata kwa miaka 300 zaidi
Usidanganywe na miradi ya kwenye makaratasi
Subiri implementatjon
Na hapo hivyo vituo vya afya vinaweza kuisha halafu ukaambiwa hakuna dawa,vifaa tiba,vitanda na wauguzi hakuna..
 
Usidanganywe na miradi ya kwenye makaratasi
Subiri implementatjon
Na hapo hivyo vituo vya afya vinaweza kuisha halafu ukaambiwa hakuna dawa,vifaa tiba,vitanda na wauguzi hakuna..
Kila kitu ni hatua. Acha vijengwe vituo, mengine yatafuata
 
Unaposema mradi wa Magufuli unamaanisha nini???
Mradi ni wa Serikali ya CCM iliyoshinda uchaguzi na ilani yake ndo inafanyiwa kazi kwa sasa???

Kibachoangaliwa ni serikali ya nani inatoa hela kutekeleza.

Ukisema hayo basi hata SGR sio mradi wa Magufuli Kwa sababu mipango ilifanywa na JK, Terminal 3 na ndege za ATCL itakuwa sio miradi ya Magufuli maana mipango ilifanywa na JK. Pia Mloganzila na Daraja la kigamboni haitakuwa miradi ya Magufuli maana ilipangwa na kuanza kutekelezwa na JK
Acha ujingawewe
 
Back
Top Bottom