Hadi Sasa sijaona Tundu Lissu akifanya Siasa za Maigizo na Mizaha. Anazingatia ile Injili "Msikae Mabarazani kwa wenye Mizaha", kaanza na Warioba

Hadi Sasa sijaona Tundu Lissu akifanya Siasa za Maigizo na Mizaha. Anazingatia ile Injili "Msikae Mabarazani kwa wenye Mizaha", kaanza na Warioba

Upcoming President Of United Republic Of Tanzania
 
Kafara aliimwaga damu yake mwenyewe 🤣

Wasipaparike kumgusa hovyo hovyo

Anapambania akitokea ndani mwake Hana mawaaa ya ovyo ovyo....

Huyo anahatma Fulani ya Taifa.(Wakijaribu kutempa nae fizikali Kunauwezekano AkAONDOKA anayemjaribu)
 
napendekeza TLS LHRC na asasi nyingine za kiraia waitishe kongamano kama wataalam na Wadau wa haki na Sheria wachambue na wajadili hotuba ya LISu na CHADEMA at least wikimoja
 
Hakuna chochote. Hata alipokuwa anapambana kuwa Rais wa TLS alikuwa hivi hivi; kelele nyiiiiingi, lakini alipokuwa Rais wa TLS HAKUNA. Narudia HAKUNA chochote alichokifanya. Kama kipo niambie nitafuta kauli yangu.
Mkuu wewe unaishi Tz ya wapi ulitegemea mgonjwa afanye nimi na yupo kitandani ? Au umesahau ile ratiba ya kukuonana na magu kabla hawamjadungua?
 
Mkuu wewe unaishi Tz ya wapi ulitegemea mgonjwa afanye nimi na yupo kitandani ? Au umesahau ile ratiba ya kukuonana na magu kabla hawamjadungua?
Mkuu unaweza kurudia kusoma ulichoandika halafu ukaangalia kama unaweza kufanya marekebisho? Ila kama wewe binafsi umeelewa ulichoandika basi poa.
 
Tangu Lissu aingie madarakani ameishafanya nini substantial kama Mwenyekiti?
Ni sawa hakuna alichofa nya.
Yeye anadhani kwenda kuongea na Press au kufanya mikutano ya hadhara ndio kazi yake.
Akae na kamati kuu yake wajadili namna watakavyo iendesha ajenda yao. Na wote waifahamu na wawe committed kuitekeleza kwa dhati sio kwa kuogopa.
Waanaglie nini changa moto ya kufanya hilo.
watatuwe changamoto zote
waende kwa kamati ndogo ndogo au wilayani na kueleza sera yao au ajenda yao mpaka ikubalike na kufahamika.

Baada hawo viongozi waanze kazi ya kueneza kwa wananchi. Na ndipo ije mitkutano ya hadhara.

Pesa zipo?
Muda Upo?
Ajenda ya kwenda kuongea na serikali katika kubadilisha mfumo na kazi hii sio ya siku moja au miezi 2.
Hii unahitaji miezi sita .
Ikifika hiyo tayari harakati za uchaguzi zi sha anza.
Refoem itakuja lakini sio sasa baada ya Uchaguzi huu.

hoja hiyo
 
Hoja nzuri sana. Ila nyumbu wa Lissu watakutukana badala ya kujibu hoja halafu wanajiita "akili kubwa" bila hata kujua hata mateja wakiisha piga ndumu hujiona "akili kubwa"! Ahahahahaha!!!
 
Hili la kwa Warioba hata siyo jambo la CDM kujisifia,CDM kama ndo imeanza hivyo,basi itakuwa inaanza kujitoa mchezoni mapema sana
 
Mzee mwenzangu kama una watoto chuo kikuu na una akili ya namna hii……Jitafakari kuna kitu hakipo sawa.
Si ndio vyuo vya toifilo kisanji na zionist college of beauty mbongo ulisikia chuo don't tremor. No impact to himself and society
 
Back
Top Bottom