Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahahahahaha!!! It takes me 12 muscles to smile but it will take me 78 muscles to be angry. For an intelligent person like me, what do you think I'll choose between the two? Ahahahahaha!!!Mbona unacheka Cheka kama umevuliwa ubingwa we jamaa,kaza mkuu
Rudia kusoma kisha andika tena kwa ufasaha.Tangu Lissu aingie madarakani ameishafanya nini substantial kama Mwenyekiti?
Kama hujui Kiingereza na uki admit, ntarudia.Rudia kusoma kisha andika tena kwa ufasaha.
Sio Lissu atafika mbali, bali atatufikisha mbali kama Tanzania.Ukiona watanzania 87% tunampenda sio bure, ana kitu na atafika mbali.
Angalau chenye maana lakini, asante kushukuru.Angalau na wewe umechangia. Ahsante.
LISSU anawatesa sanaWewe ndio upo vizuri kichwani? Ahahahahaha! Kwa lipi linaloonesha upo vizuri kichwani?
Hatoboi ng'o
Mkuu wewe unaishi Tz ya wapi ulitegemea mgonjwa afanye nimi na yupo kitandani ? Au umesahau ile ratiba ya kukuonana na magu kabla hawamjadungua?Hakuna chochote. Hata alipokuwa anapambana kuwa Rais wa TLS alikuwa hivi hivi; kelele nyiiiiingi, lakini alipokuwa Rais wa TLS HAKUNA. Narudia HAKUNA chochote alichokifanya. Kama kipo niambie nitafuta kauli yangu.
Mkuu unaweza kurudia kusoma ulichoandika halafu ukaangalia kama unaweza kufanya marekebisho? Ila kama wewe binafsi umeelewa ulichoandika basi poa.Mkuu wewe unaishi Tz ya wapi ulitegemea mgonjwa afanye nimi na yupo kitandani ? Au umesahau ile ratiba ya kukuonana na magu kabla hawamjadungua?
Ni sawa hakuna alichofa nya.Tangu Lissu aingie madarakani ameishafanya nini substantial kama Mwenyekiti?
Hoja nzuri sana. Ila nyumbu wa Lissu watakutukana badala ya kujibu hoja halafu wanajiita "akili kubwa" bila hata kujua hata mateja wakiisha piga ndumu hujiona "akili kubwa"! Ahahahahaha!!!Ni sawa hakuna alichofa nya.
Yeye anadhani kwenda kuongea na Press au kufanya mikutano ya hadhara ndio kazi yake.
Akae na kamati kuu yake wajadili namna watakavyo iendesha ajenda yao. Na wote waifahamu na wawe committed kuitekeleza kwa dhati sio kwa kuogopa.
Waanaglie nini changa moto ya kufanya hilo.
watatuwe changamoto zote
waende kwa kamati ndogo ndogo au wilayani na kueleza sera yao au ajenda yao mpaka ikubalike na kufahamika.
Baada hawo viongozi waanze kazi ya kueneza kwa wananchi. Na ndipo ije mitkutano ya hadhara.
Pesa zipo?
Muda Upo?
Ajenda ya kwenda kuongea na serikali katika kubadilisha mfumo na kazi hii sio ya siku moja au miezi 2.
Hii unahitaji miezi sita .
Ikifika hiyo tayari harakati za uchaguzi zi sha anza.
Refoem itakuja lakini sio sasa baada ya Uchaguzi huu.
hoja hiyo
Kweli kuna jambo si bureUkiona watanzania 87% tunampenda sio bure, ana kitu na atafika mbali.
HatersHoja nzuri sana. Ila nyumbu wa Lissu watakutukana badala ya kujibu hoja halafu wanajiita "akili kubwa" bila hata kujua hata mateja wakiisha piga ndumu hujiona "akili kubwa"! Ahahahahaha!!!
Si ndio vyuo vya toifilo kisanji na zionist college of beauty mbongo ulisikia chuo don't tremor. No impact to himself and societyMzee mwenzangu kama una watoto chuo kikuu na una akili ya namna hii……Jitafakari kuna kitu hakipo sawa.