Hadi sasa waislamu ndio wanaoongoza kwa waumini wengi wenye imani moja Tanzania. Wakristo wamegawanyika madhehebu mengi yasiyo na ushirikiano

Wapo Wakristo ambao hata hawajui kama Mungu ana nafsi
Waislamu wanazingatia Mungu mmoja, Allah. Huenda ndio imani ya kweli. Wakristu ni Mungu mmoja katika nafsi tatu. Ni nani kamgawa Mungu sehemu tatu? Watu wamekubali na imeenea duniani, sijui ni kwa miugiza gani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kanisa ni moja tu aliloacha Kristu na ndio linaitwa Katoliki yaani la ulimwengu. Na sio Roma. Soma historia vizuri. Hao wengine wamejitoa kwa matakwa yao na ndio madhehebu.
Umeandika kishabiki na usichokijua na hii mnalishwa na kupotoshwa huko RC.
 
Kanisa ni Moja Takatifu Katoliki la Mitume.

Mengine ni madhehebu si Kanisa.Idadi ya wakatoliki pekee ni kubwa kuliko waislamu wote
 
Umeandika kishabiki na usichokijua na hii mnalishwa na kupotoshwa huko RC.
Wala hakuna padri anayehubiri hayo, facts ni facts. Hii ni baada ya research wewe. Hakuna cha kupotoshwa. Yesu hakuacha watu vibaya, aliacha kanisa na wakristo wa kwanza na wakatoliki ndio haohao, mpaka structure ya ibada.
 
Ninavyoona mimi ni kuongeza idadi ya Wakristo, maana kila kipande kikipasuka kinajitahidi kuongeza idadi ya waumini lakini wote wanajiita Wakristo.
 
Imani ya hao waliogawanyika inahusu upagani au ukristo???
 
Wakriso wametengana sana aisee, majuzi hapo kanisa la kkkt la walutheran kulikuwa na vurugu nyingi sana mpaka kupelekea kupelekana maakamani na kanisa kufungwa kwa muda,,,,, huu mpasko sio ajabu ukazaa walutheran part 2
Vyovyote vile haijalishi Lakini anayeabudiwa ni Yesu baas siyo allah.

Yesu ni Mungu

Katika Yesu lazima tuamini na kuabudu

Jesus first Jesus Forever
 
Vyovyote vile haijalishi Lakini anayeabudiwa ni Yesu baas siyo allah.

Yesu ni Mungu

Katika Yesu lazima tuamini na kuabudu

Jesus first Jesus Forever
Pia usisahau ni hapahapa Tanzania ikifika ramadhani huwezo kula hadharani Zanzibar, unachapwa viboko kama mtoto mdogo 🙂 🙂
 
Vyovyote vile haijalishi Lakini anayeabudiwa ni Yesu baas siyo allah.

Yesu ni Mungu

Katika Yesu lazima tuamini na kuabudu

Jesus first Jesus Forever
😂😂😆😆😆😆😂😂😂😂😆
 
YESU NI YULEYULE

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Kama unajuwa maana ya dhehebu, basi utakubaliana nami kuwa dini ya Kiislamu pia ina madhehebu kama ilivyo dini ya Kikristu.
 
Kama unajuwa maana ya dhehebu, basi utakubaliana nami kuwa dini ya Kiislamu pia ina madhehebu kama ilivyo dini ya Kikristu.
Naam...wana madhehebu pia ambapo wanatofuatiana some beliefs.
 
Tatizo tulizipokea bila kuhoji. Hivi nasi Waafrika tungetangulia Ulaya na kuwaambia kuna Yesu wa Afrika wangekubali? Wangehoji ila sisi kimya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kanisa ni moja tu aliloacha Kristu na ndio linaitwa Katoliki yaani la ulimwengu. Na sio Roma. Soma historia vizuri. Hao wengine wamejitoa kwa matakwa yao na ndio madhehebu.
Hebu ficha ujinga wako wewe muabudu sanamu na maria eti mnamuita bikira wakati alizaa watoto wengi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…