Hadi sasa waislamu ndio wanaoongoza kwa waumini wengi wenye imani moja Tanzania. Wakristo wamegawanyika madhehebu mengi yasiyo na ushirikiano

Muhimu: Uzi huu umejikita kwa mazingira ya Tanzania na sio nchi za nyingine

Hii ni kwa sababu ya mpasuko mkubwa sana uliotokea katika ukristo, wapo ambao wanataka kwenda dhehebu lenye miujiza hawana mda na neno, wapo wanaotaka dhehebu wanaloweza kujichia wakate hata mauno wanavyocheza gospel ndani ya kanisa, wapo wanaotaka dhehebu liwe la jumamosi, wapo wanaotaka dhehebu linaruhusu kula nguruwe, wapo wanaotaka dhehebu linalohamasishwa kunywa pombe kwa kigezo cha mnywaji, wapo wanaotaka dhehebu la kuhuburi kwa nguvu na kukekemea utafkiri wanaemuomba ni kiziwi.

Wapo wanaotaka dhehebu linaloruhusu wanawake kuhubiri, wapo wanaotaka dhehebu linalombana padre asije kujamiana maisha yake yote ilhali ni mwanaume rijali mwenye matamanio , wapo wanaotaka kubatizwa kwa kutumia kikombe cha chai na si kuzamishwa, n.k

Mipasuko ya madhehebu inaendelea kila tofauti zinapotokea, mpaka hapa tulipo kuna madhehebu yapatayo zaidi ya mia ya kikristo nchini Na kila dhehebu linadai kuwa lipo sahihi kuliko lingine

Katika Watanzania 100 unaweza kukuta waislmu 35 (kati ya hawa utawakuta 33 dhehebu kuu napengine wawili madhehebu mengine), upande wa kikiritsto utawakuta waroma 25, waluteri 15, wasabato 10, na wengine waliobaki wakiwa wamegawanyika kwenye madhehebu kibao huko kwa Masanja mkandamizaji, Tag, Moravian, Mashaidi wa Yehova, efata, kwa kina Gwajima, Lusekelo, kwa Kakobe, mwamposa, mwakasege , kuhani Musa, jodevi, shila, n.k

Kwa hali hii ambayo wakristo wametenganika sana ni dhahiri kwa sasa waislamu ndio wanoongoza kwa kuwa wengi katika imani moja.
Rubish post, stupid content writer !
 
Sifikiri uko sahihi. Imani na dhehebu ni mambo mawili tofauti. Wakristo wote kwa madhehebu yao tofauti wanaamini sawa Mungu baba, mwana na roho mtakatifu. Mengineyo ndiyo mbwembwe za madhehebu. Hata kwenye uislam madhehebu yapo vile vile.
 
Dini zimekuwa biashara
 
Elewa basi kilichoandikwa " ndio wanaoongoza". Sio kwamba hawana madhebu.
 
Hakuna dini inaitwa ukristo. Kuna Katoliki, Lutheran, ufufuo na uzima etc.
 
Waislamu wanazingatia Mungu mmoja, Allah. Huenda ndio imani ya kweli. Wakristu ni Mungu mmoja katika nafsi tatu. Ni nani kamgawa Mungu sehemu tatu? Watu wamekubali na imeenea duniani, sijui ni kwa miugiza gani.

Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua kuna madhehebu mangapi ya kiislamu?

Je unajua Quran inayotumika Egypt ni tofauti na inayotumika Sudan ya kusini?

Unajua kuwa Quran inayotumiwa na waislam wa Sweden ni tofauti na ya Saudi Arabia?
 
Muhimu: Uzi huu umejikita kwa mazingira ya Tanzania na sio nchi za nyingine

Hii ni kwa sababu ya mpasuko mkubwa sana uliotokea katika ukristo, wapo ambao wanataka kwenda dhehebu lenye miujiza hawana mda na neno, wapo wanaotaka dhehebu wanaloweza kujichia wakate hata mauno wanavyocheza gospel ndani ya kanisa, wapo wanaotaka dhehebu liwe la jumamosi, wapo wanaotaka dhehebu linaruhusu kula nguruwe, wapo wanaotaka dhehebu linalohamasishwa kunywa pombe kwa kigezo cha mnywaji, wapo wanaotaka dhehebu la kuhuburi kwa nguvu na kukekemea utafkiri wanaemuomba ni kiziwi.

Wapo wanaotaka dhehebu linaloruhusu wanawake kuhubiri, wapo wanaotaka dhehebu linalombana padre asije kujamiana maisha yake yote ilhali ni mwanaume rijali mwenye matamanio , wapo wanaotaka kubatizwa kwa kutumia kikombe cha chai na si kuzamishwa, n.k

Mipasuko ya madhehebu inaendelea kila tofauti zinapotokea, mpaka hapa tulipo kuna madhehebu yapatayo zaidi ya mia ya kikristo nchini Na kila dhehebu linadai kuwa lipo sahihi kuliko lingine

Katika Watanzania 100 unaweza kukuta waislmu 35 (kati ya hawa utawakuta 33 dhehebu kuu napengine wawili madhehebu mengine), upande wa kikiritsto utawakuta waroma 25, waluteri 15, wasabato 10, na wengine waliobaki wakiwa wamegawanyika kwenye madhehebu kibao huko kwa Masanja mkandamizaji, Tag, Moravian, Mashaidi wa Yehova, efata, kwa kina Gwajima, Lusekelo, kwa Kakobe, mwamposa, mwakasege , kuhani Musa, jodevi, shila, n.k

Kwa hali hii ambayo wakristo wametenganika sana ni dhahiri kwa sasa waislamu ndio wanoongoza kwa kuwa wengi katika imani moja.
SO WHAAAT!!!???!!!
 
Waislamu wana madhehebu mengi pia.
(1) Sunni
(2) Shia
(3)Ahmadiyya
(4) Aswar Sunni
Na ndani ya madhehebu hayo Kuna mgawanyiko pia.
Mfano: Shia( Kuna wajafariya, waismalia, nk).
Sunni: waserafi, wasufii, nk.( Nisahihishwe nilipokosea.
 
Madhehebu mengi, ya KIKRISTO ni matokeo ya kutimia kwa utabiri wa YESU KRISTO ( watakuja manabii na wakristo wa uongo na watatenda miujiza mingi hata kuwapotosha wateule wa MUNGU).
 
Kweli Wakristo ndio wametengana lakini ndio ambao watoto wao hawaendi na yeboyebo kanisani.
 
Waislamu wana madhehebu mengi pia.
(1) Sunni
(2) Shia
(3)Ahmadiyya
(4) Aswar Sunni
Na ndani ya madhehebu hayo Kuna mgawanyiko pia.
Mfano: Shia( Kuna wajafariya, waismalia, nk).
Sunni: waserafi, wasufii, nk.( Nisahihishwe nilipokosea.
kwa hapa kwetu tz dhehenu kuu ni sunni ambalo karibu waisla wote wapo huko
 
Waislamu wana madhehebu mengi pia.
(1) Sunni
(2) Shia
(3)Ahmadiyya
(4) Aswar Sunni
Na ndani ya madhehebu hayo Kuna mgawanyiko pia.
Mfano: Shia( Kuna wajafariya, waismalia, nk).
Sunni: waserafi, wasufii, nk.( Nisahihishwe nilipokosea.
Nimekuja kujua kumbe hata wao wanayo mengi na wanapingana sana. Nina rafiki toka Pakistan ni muislam sikumbuki dhehebu lake ila amekuwa mkimbizi sasa kwa imani yake hiyo, kule kwao wanauawa wakisema tu kuwa wao ni wa hilo dhehebu.
 
Ni kweli, wenzetu waislamu wengine hata hawajui wapo dhehebu lipi wao wanachojua ni waislamu.
nakumbuka nilipokuwa najiunga chuo x cha kati enzi hizo kulikuwa na fomu ya kujaza dini na dhehebu, jamaa yangu mmoja muislamu alipata shida sana kujaza kipengele cha dhehebu ikabidi akiache wazi
 
Back
Top Bottom