Hadithi: Madam President

Hadithi: Madam President

MADAM PRESIDENT 15

Anaendelea Allan,

Niliamua kuelekea Kigamboni kwasababu kuu mbili,

Kwanza sikumuamini Tena Jesca,

Hivyo nikaona niwe nae mbali Kama kumpoteza,

Lakini sababu ya pili nilitaka sehemu ya utulivu ili niandae mkakakati wangu imara kwa ajili ya kutatua suala lilijojitokeza,

Nisingetaka kukimbizana na polisi kwa siku hizi kabla sijaweka mpango mkakati,

Eneo hili kwa baba mchungaji maeneo ya vijibweni lilikua mbali na mji kiasi hivyo niliamini itakuwa hatua nzuri kwangu kupanga mashambulizi.

***************

Taarifa zilianza kusambaa kwa Kasi ya umeme kuwa nimetoroka Mahabusu kwa kumjeruhi Askari mmoja, polisi walisema Kuna iwezekano mkubwa nilipata msaada wa kufanikisha kutoroka,

Polisi waliahidi zawadi ya milioni 10 kwa yoyote ambaye angefanikisha kunikamata,

Sambamba na Hilo Niliongezewa mashtaka mengine mawili

Kujaribu kuua na kutoroka huku nikiwa chini ya ulinzi,

Baada ya Jose kurudi Sasa nilikamilisha mpango wangu.

****************

Saa tatu usiku nilivaa mavazi yangu ya kazi huku nikiwa na begi langu mkononi, moja kwa moja nilipanda pantoni kuelekea posta,

Nilishuka na kutembea haraka Kisha nikavaa kofia yangu na kuziba uso kiasi,.

Nilifika Hadi zilipo ofisi za Mbongo na kusimama nje getini,

Nilisimama pale huku nikiaangalia saa yangu,

Muda kidogo ilitokea Gari nyeupe taratibu nikatoka pale nilipoegamia kuifuata Ile Gari,

Ni Kama dereva alijua nina Jambo maana wakati nasogea alilisimamisha kabisa Lile Gari kunisubiria..

"Habari , dada"

Nilisalimia

"Salama Kaka, karibu nikusaidie"

Alijibu .

"Bila shaka Ni mwandishi Christabela?"

Niliuliza nikiiweka sawa kofia Yangu.

"Ndio Ni yeye, samahani sijui tunaweza kurudi ndani Kama Ni suala la kiofisi?"

Alisema Christabela.

"Hakuna haja, nimefurahi jinsi ulivyoandika kuhusu kesi ya Allan,..

Sasa chukua hii bahasha Ina kila kitu"

Nilimpa Ile bahasha Kisha nikaondoka zangu kwa haraka kurudi Kigamboni.

Nilirudi nikiamini Christabela atafanya kazi yake vizuri,

Nilimpa Ile bahasha makusudi nikijua fika kesho yake Raisi alikua anafanya mkutano na vyombo vya habari na Kama alivyokuwa akijinasibu alitaka kuulizwa swali lolote kuhusu yeye Binafsi na Siasa,

"Janet na Siasa"
Ndio jina lililopewa mkutano huo..

Katika bahasha yangu kwa Christabela nilimwambia namna ya kuuliza maswali na ikiwemo barua za Janet na picha moja Kama ushahidi hivyo nilitegemea Christabela "aue"

Kesho yake saa 4 asubuhi nilikua chumbani kwangu Kigamboni nikiwa nakodolea macho mkutano wa Raisi na vyombo vya habari,

Janet alianza kwa kutoa historia yake kuzaliwa , maisha yake ya utotoni na jinsi alivyoingia kwenye Siasa,

Vyakula anavyopenda na Mambo mengine, mengi yakiwa ya uongo ,

Baada ya hotuba alikaribisha maswali na waandishi wakauliza maswali mengineyo hatimaye nikamuona Christabela akisogea mbele na kushika maiki..

"Come on baby!,"

Nilijisemea nikiomba Christabela amalize game....

"Mheshimiwa Raisi Kuna huyu Mtu ambaye ametoroka hivi karibuni , tuliona Mara ya kwanza ulisisitiza akamatwe ndani ya siku kadhaa je Ni kwanini umelichukulia suala lake Kama so special hivi na Kuna wahalifu wengi tu tunaona walifanya matukio na hujawahi kutoa tamko?"
Aliuliza Christabela

"Ooh no Christabela unachemka mama, swali gani Hilo?"

Nilijikuta napandwa na hasira nikitamani kuzima TV,

"No wengi walininukuu vibaya, wakati naongea na mapolisi Kanda maalum ya Dar es salaam , siku Ile ndio kesi ya Allan ilikua Kama Ina trend hivi ndio nikatoa Kama reference Wala hakukua na kitu cha ziada, "

Alisema Janet,

"Mheshimiwa Kuna swali la nyongeza kwenye kitu hicho hicho,"

Alinyoosha mkono mwandishi mwingine

"Naitwa Mazinge kutoka Powerful media, mheshimiwa hili suala la Allan, Kuna maneno huko mtaani kuwa huyu Ndugu mlishawahi kuwa na mahusiano enzi hizo na Sasa ikaundwa hii kesi ili kupoteza ushahidi Kama Raisi anadate na Raia wa kawaida"

Ukumbi mzima waliangua kicheko na minong'ono ikaanza mpaka ikabidi muongoza mkutano atulize kelele...

"Ni kweli hata Mimi nimesikia hayo maneno, Ila Sasa Kama Raisi siwezi kujibia maneno ya mtaani , Binafsi natamani nimuone maana hata Mimi mwenyewe simjui,
Hahahahaha"

Janet alimalizia kujibu swali huku akiangua kicheko,

Maswali mengine yaliendelea Kisha mkutano ukafungwa...

Nilizima TV Kisha nikatabasamu,.

Hatua ya kwanza ilishaisha bado hatua ya pili,

Hatua iliyofuata ilikua Ni kuchapisha picha yangu tukiwa na Janet , siku ambayo alikuja kunitembelea shuleni na tulipiga karibu na kibao Cha shule,

Lakini pia nilimpa Christabela majina ya watu ambao walijua mahusiano yetu na Janet wengi wakiwa wanafunzi wenzangu mombo sekondari,

Ni kweli kesho gazeti la MBONGO
Lilipambwa na Habari

"KUMBE JAMBAZI NA RAISI WANAJUANA"

huku picha yangu na Janet ikiwa imewekwa na kipande Cha barua,
Habari hiyo ilikua gumzo siku hiyo na jina Langu likiwa midomoni mwa Watu,

Uzuri Ni kwamba wale wote tuliosoma mombo sekondari ambao niliwaandika walihojiwa na wakakiri,

Baadhi ya waandishi walifika Mpaka shule niliyosoma huku wakifananisha mazingira tuliyopiga Ile picha,

Wengine walidiriki kurusha kwenye Televisheni,

Hakika Sasa nchi nzima ilisimama, na wanaharakati wakaanza kufuatilia undani wa kesi yangu ya wizi,

Wapo waliodiriki kusema nijitokeze hadharani watanilinda,

Hatimaye Raisi alijitokeza Tena hadharani baada ya siku chache,

Alisema wapo watu waliokusudia kumchafua kupitia tukio Hilo na kwamba kujuana nae ama kutojuana nae hakuondoi uhalifu wake,

"Kumbukeni Raisi hakutokea mbinguni, Sasa kusema kuwa najuana na Allan ndio afanye uhalifu na asichukuliwe hatua?, Bado nawasihi Jeshi la polisi kumtia Nguvuni ili ajibu mashataka anayokabiliwa nayo"

Janet alisema

Baada ya kauli hii Sasa hoja mbali mbali ziliibuka na kila mmoja akaanza kuongea kwa kadri anavyoona inafaa...

"Raisi anapaswa kujiuzulu, kwanza alidanganya kuwa hamjui, lakini baadae alivyopewa ushahidi anasema anamjua, Sisi Kama ATC tunamtaka Raisi ajiuzulu kulinda heshima ya kiti Cha Uraisi"

Alisema mama Devota
 
kazi nzuri sana bro,
 
Mambo yanazidi kunoga Mama pretty Kelsea Angel Nylon
 
MADAM PRESIDENT 16

Niliwasiliana na Mke wangu kupitia Simu ya Mchungaji pamoja na Shemeji Aida, walisharudi nyumbani na mipango ilikua inakwenda vizuri,

Pamoja na Mambo mengine Bwana Shija Alilipa bili zote pale hospitalini kitu ambacho nilishangaa Sana,

Sikuwa na maneno mengi ya kuongea na Mary, nilijua nimemkosea Sana kwa kutembea na Raisi,

Hata hivyo nilipanga kumueleza ukweli siku moja baada ya haya yote Kwisha,

****************

Ni Kama Polisi walipunguza makali ya kunitafuta, Mchungaji msabaha aliniweka kwenye chumba Cha Siri ambacho alikua akikitumia kufanya maombi yake ,

Ni aghalabu Sana mtu kufahamu ,

Nikiwa ndani majira ya saa 10 jioni niliona Gari kwa mbali ikisogea maeneo ya Kanisa,

Ilikua Ni kawaida Sana watu kufika pale wakiwa na magari yao lakini bila kuelewa nilijjikuta natazama Lile Gari Sana,

Lilikua Ni Gari la kawaida rangi ya kijivu,

Kilichofanya nilitazame Ni namna walivyokuwa wakija kana kwamba wanaulizia,

Niliweka vitu vyangu vizuri ikiwemo ule mlango wa Siri wa kuingia pale chumbani ambapo kwa kawaida mtu angeingia kule ofisini kwa mchungaji angeona mashelfu ya vitabu tu, kumbe kwenye mstari mmoja kulikua na chumba kingine kilichokua na kitanda, TV , na choo ,

Mchungaji msabaha mwenyewe alisema kile chumba kilikua maalum kwa ajili ya kuipambania Injili,

Chumba hiki kilikuwa na matundu madogo madogo ambayo kwa nje yalichorwa maua Ila kwa ndani yaliwezesha mtu kuona nje kabisa,

Lile Gari lilipaki Kisha wakashuka watu wanne jinsi walivyotembea nilihisi kabisa Ni Askari kanzu,

Pamoja na kwamba hawakuvaa sare lakini nilihisi Ni polisi,
"Wamejuaje Hawa washenzi?"

Nilijisemea nikiuma meno,

Walizunguuka nyuma na kuingia ndani sikuweza kusikia mazungumzo yao lakini baadae nilisikia wakisogea kuelekea nilipokuwepo wakiwa na Mchungaji msabaha
Nilijiandaa vyema kwa chochote Kisha nikasogea Karibu kusikiliza...

"Karibuni sana ,"

Mchungaji msabaha alikuwa akiwakaribisha,

"Tunashukuru baba mchungaji, Mimi Naitwa Bwana sospeta, Ni afisa polisi , na Hawa Ni wenzangu pia nao Yule Ni Eric Ni afisa upelelezi, yule Ni Mwita, nae Ni afisa upelelezi na huyu Ni Mwimbe, Ni kaimu wa Kituo Cha polisi vijibweni"

Alianza mazungumzo Kisha Mchungaji msabaha aliwataka Tena kueleza sababu za kufika pale.

"Mchungaji tunaamini kabisa kuwa utatupa ushirikiano katika Jambo Hili, kama nilivyosema awali sisi Ni Jeshi la Polisi, hatuwezi kutoka vituoni bila kuwa na kazi ya Msingi, na katika hili tutaomba Sana msaada wako"

Alisema Yule polisi,

"Yupo mtu mmoja ambaye Ni mhalifu ametoroka rumande wiki iliyopita na akajeruhi polisi na alikua na kesi ya wizi wa pesa anaitwa Allan, Bila shaka Kama hayupo hapa kwako Basi unajua mahali alipo!"

Nilisikia Moyo ukipiga paa,

"Wamejuaje?"

Bila shaka safari hii sio Jesca Tena

" Ni kweli hata Mimi nilisikia kwenye vyombo vya habari kuhusu Allan, lakini hapa hayupo!"

Mchungaji msabaha alisema,

"Sijategemea baba Mchungaji uwe muongo, hivi unadhani sisi hatuna akili, hebu angalia hapa vijibweni Kuna watu wangapi? Kwanini tuje kwako Mzee?"

Alihoji afande Eric,

"Ni Kama nilivyosema hapa hayupo!"
Mchungaji msabaha alisema,

Hakukuwa na namna isipokuwa kuagiza nyumba isachiwe , walipekuwa kila sehemu huku bwana Sospita akibaki na Mchungaji Msabaha, baada ya Nusu saa walirejea wakiwa mikono mitupu,

"Tunasikitika Mzee inabidi tukukamate twende kituoni, maana sisi tuna uhakika unajua Allan alipo!

Sikiliza Mzee Jana tuambie Nani alikua anaongea na mke wa Allan kupitia Simu yako?"

Hapo Sasa nilielewa,

Bwana Shija mkurugenzi, alikuwa karibu na familia yangu huku akichukua mawasiliano na namba zao kwa lengo la kuwajulia Hali lakini wakati huo huo walikua wanafuatilia mawasiliano yote ya mke wangu endapo ningepiga Simu!

Jana wakati nampigia mke wangu bila shaka waliona namba ngeni kabisa ikiingia kwenye simu yake na wakasikiliza mawasiliano yetu, zaidi Sana waliangalia namba iliyopiga na kuwaleta mpaka hapa kwa Mchungaji Msabaha,

"Oooh shit"

Nilijisemea niking'ata meno,

"Okay nitawaeleza ukweli "
Mchungaji msabaha akasema,

"Ni kweli Allan alifika juzi usiku hapa akaniomba Kama Mchungaji alalale hapa siku moja na kesho Yake angeondoka, Jana ndio akaomba Simu yangu akiwasiliana na mkewe lakini baada ya chakula Cha usiku aliondoka na hakusema alipokwenda, na Kama nilivyosema mwanzo hapa hayupo!"

Mchungaji msabaha alijaribu kuwatoka Askari

"Mchungaji msabaha tunashukuru Sana kwa maelezo yako lakini wewe mwenyewe unajua wazi kushirikiana na wahalifu Ni kosa na pia umediriki kumficha mhalifu, hivyo tunakuweka chini ya ulinzi "

Alisema Bwana sospeta ,

Nilijisikia kuumia Sana, tayari watu wengi walishaumia kwenye Jambo Hili, na wengine kufariki akiwemo Isabella,

Sikutaka kabisa Mchungaji msabaha apate matatizo kwa ajili yangu nilitamani kutoka pale lakini nilijikuta nashindwa maana kwa Hali ya kawaida hata nikijitokeza bado wataondoka na Mchungaji tu,

"Mungu nisaidie nifanyeje hapa?"

Niliwaza wakati huo mke wa Mchungaji alikuwa amefika akiwasihi polisi kutoondoka na mumewe.
 
MADAM PRESIDENT 17

Polisi walisisitiza kuondoka nae,

Ni kweli walitoka nae nje na baada ya muda mfupi Gari ikaondolewa kwa Kasi,

Nilitoka pale chumbani na kumkuta mama Mchungaj akilia tu,

"Mama usijali Mzee atarudi tu, "

Nilisema huku nikitoka nje na kuingia Tena ndani,

Baadae nilirudi ndani kule chumbani ,

Niliiweka mizigo yangu sawa,

Nikatoka

"Mama Ngoja nikamtoe Mzee, mpigie Jose aje achukue mizigo yangu"

Nilisema huku nikitoka nje sikutaka kujadiliana na mama Mchungaji,

Nilitoka kuelekea kilipo kijiwe Cha boda boda na kupanda kueleka feri ,
Niliwahi pantoni nikapanda nilishusha kofia Yangu vizuri kuziba uso,

Niliamua kwenda mpaka Kituo kikuu Cha polisi posta Kisha nikajikamatisha huku nikiomba Mzee aachiwe,

Kwanza polisi walishangaa kuona nimejileta mwenyewe walinisachi Kama Nina silaha yoyote Kisha baada ya muda msafara mfupi ulianza kuelekea kisutu tayari nilishakuwa na kesi hivyo polisi hawakuhitaji ushahidi mwingine Tena,

Kama kawaida habari zilisambaa kwa haraka kuwa nimejipeleka Polisi ,

Hivyo wakati tunawasili kisutu tayari waandishi na wananchi walishajaa!

Nilifika na kusomewa mashataka yote matatu wizi, kutoroka mahabusu na kujaribu kuua,

Na hivyo hukumu ilitegemewa kusomwa kesho kutwa,

Nikarudishwa mahabusu,

Safari hii sikuruhusiwa kuonana na yeyote na ulinzi uliimarishwa Sana .

*****************

Siku ya hukumu mahakama ilijaa kwani Ni kesi ambayo ilikua imevuta hisia za watu,

Nilisomewa Tena mashataka yangu na Kisha Jaji mwanaidi Bayo,.

Akasoma hukumu,

"Baada ya ushahidi wote kukamilika, na mshtakiwa kupatikana na hatia,

Mahakama inaamua mshtakiwa Allan Stanslaus Kinyemi, kwenda Jela miaka 15, !"

Nilijisikia nguvu kuniishia kwa mbali nilimuona Dada Yangu Tatu akishikiliwa na watu tayari alikua amepoteza fahamu,

Kwani baada ya wazazi wetu kufariki nilibaki Mimi na dada angu huyu,

Nilisikia watu wakianza kulalamika pale mahakamani miguno ilikua Sasa inatia shaka haraka Sana polisi walinibeba juu juu na kujaribu kunitoa nje kuelekea Gereza la Segerea kuanza kifungo..

Tulitoka salama na Polisi nilijikuta napata ujasiri badala ya kuhuzunika,.

Labda kwakuwa nilikubali yaishe

Kulikua na magari mawili ya polisi

Moja mbele ambalo tulikua tumepanda wafungwa wanne na polisi Kama 8 hivi na lingine nyuma ambalo walikua wamepanda polisi,

Tulikua tunakaribia kabisa Gerezani Mara ghafla likatokea Gari moja mbele Yetu likasimama,.

Kwakuwa kulikua na njia panda Gari za polisi zilipunguza Mwendo wakidhani Lile Gari limekosea njia kwa bahati mbaya,..

Ilikua Ni mchana majira ya saa Saba,

Wakati Lile Gari linapunguza Mwendo likatokea Gari jingine Kama fuso na kugonga lile Gari la polisi kwa nyuma ,

Kwakuwa ilikua Ni kitendo cha haraka Sana polisi wengi waliokuwa kwenye Ile Gari walijeruhiwa Sana na wengine kufariki pale pale,

Bila kutarajia walitokea wananchi kundi kubwa na kutuzunguuka huku wakiwa na silaha mbali mbali Hawa polisi tuliokuwa nao kwenye Gari waliruka haraka na kutoa bunduki zao huku wakipiga juu kutawanya watu lakini bado waliendelea kuongezeka!

Haraka Sasa Ile Gari ya Mbele ilirudi nyuma na Kisha milango yake ikafunguliwa wakatoka watu wanne waliojifunga nyuso zao wakiwa na bunduki na kusogea pale tulipo...

Tayari watu walikua wakikimbia huko na huko na polisi walizidiwa nguvu na kukubali kuweka silaha chini tayari wale jamaa walifika huku wafungua mlango wa Gari tulilokuwepo waliwafunga wale polisi pale chini kwa kamba maalum walizokuja nazo Kisha wakapiga matairi ya Gari risasi haraka wakatuamuru kushuka Mimi pamoja na wenzangu wanne

Tulitembea kwa haraka kueleka ilipo Ile Gari Aina ya hiece ikiwa na vioo vyeusi walifungua mlango na tukaingia ndani haraka mmoja wao akatufungua zile pingu ,

Hakuna aliyesema neno gari iliondoka kwa Kasi ya ajabu huku tukiacha lile vurumai likiendelea pale, tulichukua barabara ya kuelekea tazara na tulipofika njia panda,

Tuliendelea mbele njia kuu ya kuelekea Gongo la mboto,

Kisha tukafika banana Gari ikaingia upande wa kushoto, dereva alipiga honi kadhaa Kisha ikatokea Gari nyingine ndogo nyeusi ikasogea tulipokuwepo ,

Mambo yote yalifanyika kwa haraka Sana,

Sekunde kadhaa mlango ulifunguliwa na wale jamaa wakashuka huku wakiashiria na Mimi kushuka,
Wale wenzangu walibaki pale pale,

Mimi nikaingia kwenye Ile Gari nyingine na ikageuza kurudi tulipotoka,

Mmoja alitoa juisi Fulani kwenye box akampa kila mtu tukaanza kunywa ,

Safari iliendelea huku tukipishana na magari mengi ya polisi na ving'ora bila shaka kuelekea eneo la tukio,
Gari tulipofika Tazara Sasa tulinyoosha kulia kana kwamba tunaenda Kariakoo,

Mmoja alinipa gloves za kuvaa mkononi nikavaa,

Hakukua na maongezi yoyote Safari iliendelea Mpaka kwenye nyumba moja hivi ambayo ilikua kama ghala la kuhifadhia vitu,

Tulishuka haraka haraka, na kuingia kwenye Ile nyumba Kisha mmoja alibonyeza kitu alichokua ameshika mkononi mlango mkubwa ukafunguka tukaingia tukikimbia kuelekea ngazi zilizokua chini,

Tulitokea sehemu ya uwazi mkubwa na kulikua na shimo kubwa kuelekea chini likiwa na kamba za kushukia mmoja alitangulia,

Kisha mwingine akfuatia kwa kushika zile kamba...

Sasa tulibaki wawili pale juu,

Yule jamaa aliniashiria nishike kamba mojawapo nami nishuke Hata hivyo niliogopa Sana maana shimo Lile lilikua refu Sana na kulikua na Giza Sana,

Alinionyeshea ishara ya saa akimaanisha tulitakiwa kuwahi

"Nyie Ni Akina Nani, sasa mbona mmeziba sura Mpaka huku?"

Nilisema nikisita kushika zile kamba,

Hakuongea kitu kidude alichokua ameshika mkononi kilianza kuwaka Waka nae akasogea zilipo kamba na kuniashiria nami nimfuate..

"Potelea pote"

Nilijikuta na Mimi nafuata chini huku nikitetemeka, kitu pekee kilisaidia Ni zile glovu nilizovaa mikononi zilisababisha nishike Ile kamba kwa wepesi Sana Mpaka nikajikuta nashangaa ilivyokua rahisi,

Tulishuka pole pole na Mara kadhaa Yule jamaa alinisubiri na kadri tulivyosogea chini ndivyo niliona mwanga kwa mbali na hatimaye tukashuka chini kabisa na kuingia kwenye kamlango kadogo na kutokea kwenye njia nyingine ya kutambaa kwa tumbo...

"Ama kweli nchi Ina mambo!"
Nilijisemea Sasa maana sikuwahi kutegemea dar kuwa na njia Kama Ile,

Tuliendelea kutembelea tumbo na hatimaye tukatokea sehemu iliyokuwa na ngazi ndefu tukanza kupanda kuelekea juu ,

Tulitokea sehemu iliyokuwa na uwanja mkubwa na kuwakuta wale jamaa wengine wakiwa wanatusubiri,

Mbele Yetu kulikua na mlango mwingine mdogo ambapo Huyu niliyekuwa nae alibonyeza Tena kile kidude mlango ukafunguka na nilipigwa na mshangao baada ya kuona mbele Yetu tukitazamana na bahari..

Tulisimama kwenye njia ya kuelekea kwenye bahari kabisa iliyotengenezwa kwa vyuma maalum,

Na kwa mbali kulikua na Boti moja ambayo ilisogea mahali tulipo na tukarukia ndani yake,
Sasa baada ya kuingia kwenye boti kila mmoja alivua kofia yake na kuanza kuonekana sura zao...
 
Ck endelea
 
Back
Top Bottom