Gily Gru
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 8,632
- 23,673
Mbona roho zenu zina sumu sana? Kwani umeshikiwa fimbo usome au umelazimishwa?Huu uzi ni wa masikini wa kutupwa.
Hivi Mimi tajiri, au mwajiliwa ntapata wapi muda wa kusoma utopolo
huo sio uungwana kuita wenzako masikini na dharau. Hizi tabia za kukatisha wasimuliaji ni tabia za kimasikini. Pita mbali sio lazima umlatishe tamaa. .
Very pathetic 😔
Maana matajiri huwa wanasoma wakiwa wanakunya🤣🤣🤣🤣Hongera mkuu kwa kuwa "Tajiri" kuliko TAJIRI MKUU WA MATAJIRI
Bila shaka hapa umekoment ukiwa chooni