Hadithi: Sitosahau alichonifanyia daktari wa saratani ya matiti

Dr Hemed alikula tunda kimasihara.
 
Dr Hemed alikula tunda kimasihara.
Ila ma Dr wana kazi ngumu sana haswa wanaume,na Dr wangu ni mwanaume ndo alonizalisha kwenye ku push mtoto akanichana,ikabidi nishonwe nyuzi kadhaa baada ya kupona nikaona mbona nikinawa japo ni kwa nje nilipo shonwa nasikia kama kifundo kwa ndani ikanivuruga sana nikahisi ni uvimbe nikamwambia Dr akasema basi uje hospital nione siwezi jua ni nini,ikaenda halafu kama jana yake nime shave 😄halafu mie napenda manukato nikioga ninajikausha basi napaka nyuma ya masikio chini ya maziwa kwenye kitovu kinena mapajani nyuma ya magoti na kwenye makalio kwenye pressure point haswa za mikononi basi nikaenda fanya check up zingine nikamkumbusha na hio ishu Dr akasema panda kitandani nione basi nikapanda nishajisasambua yeye anavaa gloves ile anageuka na hivi mie li Shangazi jeupe nimenona 😂halafu tumbua limenyolewa soft naona Dr katoa macho anasogea naona na manukato kama yamvuruga hivi akapeleka kidole kukagua 😂akaniambia sio uvimbe ni nyuzi ya ndani hapo sehemu nilipofungia uzi kwa kweli Dr tunaheshimiana Ila nilimuona kavurugika 😂Mungu awape subra kwenye kazi yao ngumu kwa kweli wana mitihani mi kubwa ni kuvishinda vishawishi. Kama naona Analyse anatamani angekuwa yeye ndo Dr😂
 
Kitafuata nini zaidi ya kuvaa na kuondoka,sio kila Dr malaya wengine wanaheshimu taaluma zao na wengine tunaheshimu ndoa zetu na kumuogopa Mungu na siwezi liwa kimasikhara umri huu tena na Dr chumba cha hospital.
Umenifurahisha sana na hako kamsimamo Kako ka kilokole.

Hongera
 
Umenifurahisha sana na hako kamsimamo Kako ka kilokole.

Hongera
Wala sio mlokole Ila ni misimamo tu yaani siku ya kiyama wakisema wanawake wasio zini kwenye ndoa zao wapite huku waingie pepo waitakayo ebwana eeh nanyanyuka kibabe kabisa.nikishaolewa basi naachana na kila kitu.dini yangu sio ya ndoa mpaka kifo ikifikia kuchepuka bora nijitoe kwenye ndoa niche puke vizuri sio ndani ya ndoa japo uzinifu haukubariki Ila kwenye ndoa ndo zaidi.
 
Haya mama shikilia msimamo wako umfurahishe mwenyezi Mungu.
 
Aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…