Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
thnx 4 tag dear ndo naiona hapa,ningeshangaa mwamba wewe upitwe
Hii story imeisha mkuu au[emoji28] Ndo nimeona comment yako...shortly hv vitu tunaviishi na kuvifanya mzee...kwaiyo n easy tu
One episode leftHii story imeisha mkuu
Haya ngoja niite wazee wenzangu JBourne59 wao ni wao AnalyseWaite wazee wenzako wasome ...maana baada ya hii Kuna nyingine inakuja Inaitwa TAMU YA MCHAWI inapostiwa kwenye Uzi huu huu
Asante sana mrembo 😊
Dada yangu huyu ongea vizuri na mimi mzee. Kwanza tuma vocha ya buku tano niongeze bando😀Asante sana mrembo 😊
Sema Shangazi 😂Asante sana mrembo 😊
Acha udalali kaka. Nikirusha buku 5 ya vocha, utaenda kunywa mbege wewe.😅😅Dada yangu huyu ongea vizuri na mimi mzee. Kwanza tuma vocha ya buku tano niongeze bando😀
Umenivuruga akili yangu ulivyosema hivyo 🙈Sema Shangazi 😂