Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 23,234
- 28,473
anaogea showergel ya dove ..wewe unaogea magadi.....Mzee anakuaje nweupe hivyo TZ.!
Huyu bila shaka mkongomane ndo mana wanapenda laiv shoo za Mopaaa🤭
Niache nicheke kwanza ndipo nirejee ku-commentBinti anatakiwa aongeze umakini. Sisi wawindaji wa swala tuliogoma kuzeeka huwa tunajuana vizuri.
Waarabu wa Pemba tunajuana kwa vilemba Sheikh 🤓Niache nicheke kwanza ndipo nirejee ku-comment
Ni kama ulikuwepo kichwani mwangu
Huyo mzee ni wa kumwogopa kama mwiba