Uchaguzi 2020 Hafla ya kuapishwa Dkt. John Magufuli kuendelea na Awamu ya Pili ya Urais wa JMT uwanja wa Jamhuri, Dodoma 05 Oct 2020

Unafumba macho na kuitoa hela mfuko wa kulia unaiweka mfuko wa kushoto halafu unafumbua macho na kuanza kuitafuta.

Aliyeturoga sijui atafufuka lini ili atuondolee hili zimwi.
 
Hii nchi yetu ya ajabu sana, na wote tuliomo tunatakiwa kuwekwa makumbusho vizazi vijavyo waje kutushangaa; hawa wanafurahia ushindi feki, na wale wengine wanaogopa kudai haki zao uchaguzi urudiwe kwasababu haukuwa huru na haki.

Sijui tumelogwa?!
Umerogwa wewe ambae unalazimisha kuwa uchaguzi haukua huru na haki wakati ulikuwa fair.

Kwa nini unapiga porojo hapa Jf badala ya kwenda Dodoma kuzuia bendera ya rais isipandishwe awamu ya pili?
 
Kuna mtu nimemuona kwa mbaaaali kama Mwijaku...🤓🤓
 
Hii nchi yetu ya ajabu sana, na wote tuliomo tunatakiwa kuwekwa makumbusho vizazi vijavyo waje kutushangaa; hawa wanafurahia ushindi feki, na wale wengine wanaogopa kudai haki zao uchaguzi urudiwe kwasababu haukuwa huru na haki.

Sijui tumelogwa?!
Ukiona Mtu anasema CCM ni Wezi basi jua hata Yeye pamoja na Chama chake nao ni Wezi 'Wabobezi' wa 'Kura' ila safari hii wamezidiwa tu Mbinu.
 
Nawaangalia halafu anasema hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Kwa Jpm kuapa kwa kutumia Biblia mi kunajisi kitabu kitakatifu.
Jpm hajachaguliwa na wapiga kura wa Tanzania bali kachaguliwa na vyombo vy dola.
Hii dhambi haita kaa isafishike.
 
Kwa mara ya kwanza Rais ameapa kwa maneno tofauti na kuacha maneno muhimu kabisa ambayo ni
"Naapa kwamba nitakuwa mwaminifu kwa Jamhuri na nitailinda, kuhifadhi Katiba ya JMT.

Lakini maneno hayo yameondolewa.

Nini tafsiri yake?

Kuna mabadiliko ya Katiba?

Wajuzi tupeni ufafanuzi.
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…