Hafla ya tukio la uzinduzi wa Jezi za Simba Sports Club pale Super Dome Masaki

Hafla ya tukio la uzinduzi wa Jezi za Simba Sports Club pale Super Dome Masaki

Meja Jenerali Isamuhyo

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2017
Posts
3,709
Reaction score
10,896
Tukio lipo mubashara Azam Sports 1HD

Klabu ya Simba inatarajiwa kuzindua jezi zake zilizotengenezwa na kampuni kubwa ya kiitaliano ya Diadora.
Karibuni kwenye tukio kubwa la jezi kubwa za timu kubwa
 
Mgeni rasmi Gerson Msigwa, Katibu Mkuu wa Wizara ya Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali ndio ameingia ukumbini
 
Tukio lipo mubashara Azam Sports 1HD

Klabu ya Simba inatarajiwa kuzindua jezi zake zilizotengenezwa na kampuni kubwa ya kiitaliano ya Diadora.
Karibuni kwenye tukio kubwa la jezi kubwa za timu kubwa
Tuweke sawa Mkuu, unamaanisha 'tukio kubwa' ama'Kituko kikubwa'?
 
Jamaa anaenda kukatia bima ya afya kwa watu waliofariki au mimi ndiyo sijaelewa
 
Hao wachezaji kwa historia waliyoiandika na ukizingatia umri wao, wangepewa bima kwa maisha yao yote yaliyobaki.

Pia watu wamepoa sana. Ilibidi wapewe standing ovation.
 
Back
Top Bottom