Huyu Muhaya anaongea kwa mapozi
Wahaya tunaongea kwa akili kubwa sana. Siyo Wazaramo au watu kutoka Kizimkazi siye.Huyu Muhaya anaongea kwa mapozi
Daaah🤣🤣Wahaya tunaongea kwa akili kubwa sana. Siyo Wazaramo au watu kutoka Kizimkazi siye.
Mie natokea KashaiSijaona mapozi yoyote hapo. We unatokea wapi Buleba? Maana nyie ni washamba sana.
leta jezi acha taarabuOya, hiki ilichokifanya Simba ni balaaa. Mambo ya mijezi fake fake muda wake umeisha.
Simba imeleta utaratibu mpya wa kuzindua jezi. Wale Watopolo Wazee wa kuiga iga karibuni muige hili jambo. Maana nyie mnasubiri Simba waanzishe kisha mcopy na kupaste.
Mie natokea Kashai
Kuna nyumba za nyasi kama kule kwenu?Ndo walewale Bukoba ni moja ya mikoa maskini sana
Kuna nyumba za nyasi kama kule kwenu?