Achana na hizo biased data. Wahaya tunaweka pesa kwenye 'madiaba' na ndoo, huko benki mnakochukua data huwezi kuona kama tuna mabulungutu ya maana. Na biashara kule mpakani Mtukula nyingi ziko kwenye black market. Sasa wewe tegemea hayo makaratasi kukupa uhalisia wa maisha. Eti Mkoa wa Kagera unazidiwa na Tabora na Katavi my foot! 😂🤣
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.