Mukuu123
JF-Expert Member
- May 7, 2019
- 319
- 1,223
Wanaowania tuzo ya mchezaji bora wa dunia ( Ballon d'Or )
- Trent Alexander Anold
- Joao Cancelo
- Karim Benzema...
Mbona silioni jina la mayele apa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanaowania tuzo ya mchezaji bora wa dunia ( Ballon d'Or )
- Trent Alexander Anold
- Joao Cancelo
- Karim Benzema...
Kwenye hizi tuzo, makampuni ndiyo huamua nani apewe tuzo. Na wababe wakiwa ni
Adidas na Nike.
Na anamuhusudu sana 2Pac.Benzema alivyovaa leo kama Tupac View attachment 2390484
WanastahiliMan City ndio timu bora ya mwaka
Madrid wamenyimwa Kwasababu walipita kimazabe mazabe mpk kufika fainali[emoji38]Man City ndio timu bora ya mwaka
Itampa morali ya kupambana Sana,Hatimaye Karim Benzema amefanikiwa kuibeba tuzo hii baada ya kuisubiri kwa muda mrefu kutoka kwa kaka zake waliokuwa wakipokezana tuzo iyo C Ronaldo na l mess hongera sana Benzema..
Alikua anaimezea mate balaa[emoji16]Mwana amestahili kwa 100%
View attachment 2390569
Madrid Wana upepo Nayo Sana,Hii tuzo naona wachezaji wa madrid wanaibeba sana nahisi hata ijayo watatoa mtu tena
uhakik zizzu ndo godfather wa soka la pale France kwa miaka hii coz kila mchezaj anatamn kufkia records za zidaneUnaweza ukaona Zidane mtu ambaye ndo Godfather wa KB9 euphoria yenye anayo sa hii