Hafla ya Tuzo za Ballon d'Or 2022 (Oktoba 17, 2022), Benzema ashinda Tuzo ya Ballon d’Or 2022

Hafla ya Tuzo za Ballon d'Or 2022 (Oktoba 17, 2022), Benzema ashinda Tuzo ya Ballon d’Or 2022

Amepambana muda mrefu sana nazani alikuwa anastahili Japokuwa umri umeenda Sasa (34) si mchezo
 
Nimekuja kugundua hii tuzo bila kucheza Barcelona au real Madrid hupewi hii tuzo utaisikia au wataanzisha zengwe kama walilomfanyia Lewandowski kipindi kile
 
Tuzo za mchongo kama hachezi Barcelona au real Madrid sahau
 
Nimekuja kugundua hii tuzo bila kucheza Barcelona au real Madrid hupewi hii tuzo utaisikia au wataanzisha zengwe kama walilomfanyia Lewandowski kipindi kile
George Weah hakucheza Barca wala Madrid. Ronaldo akiwa Manchester United alipewa.
 
Messi angesalia barcelona hakika leo tungemshuhudia akipokea kiatu kwa x8....lkn vikwazo na chuki za watawala wa uhispania La liga walimwangusha kwa zuio lile

Hadi benzema anatajwa kuchukua mara hii lakini ni kama hakuna tenawatu wa level za messi vibe la messi huyu benzema anayetajwa hafiki hata nusu
Kweli mpira wa ulaya umetibuka na kuporomoka kwa kitendo tu cha kumwekea zuio messi



Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app

Acha pumba wewe, Benzema ni mmoja ya washindi bora kabisa kuwahi kutokea kwenye hizi tunzo. Performance yake ya msimu uliomaliza ilikua ni moja ya Best Ever.
 
W
Wanaowania tuzo ya mchezaji bora wa dunia ( Ballon d'Or )


  • Trent Alexander Anold
  • Joao Cancelo
  • Karim Benzema
  • Casemiro
  • Luis Diaz
  • Fabinho
  • Foden
  • Erling Haaland
  • Sebastian Heller
  • Joshua Kimmich
  • Robert Lewandowski
  • Riyad Mahrez
  • Kylian Mbappe
  • Luka Modric
  • Christopher Nkunku
  • Sadio Mane
  • Darwin Nunez
  • Cristiano Ronaldo
  • Benardo Silva
  • Son Heung Min
  • Van Dijk
  • Vlahovic
list ingeandaliwa after world cup.yashapita tyar
 
Back
Top Bottom