Hafla ya Tuzo za Ballon d'Or 2022 (Oktoba 17, 2022), Benzema ashinda Tuzo ya Ballon d’Or 2022

Amepambana muda mrefu sana nazani alikuwa anastahili Japokuwa umri umeenda Sasa (34) si mchezo
 
we mkuu unataka lengo liwe nn huyo ostadh kwa maana mtu mwny elimu ya dini pia anawez kusomesha huyo n alhaj kwa vile kaend kuhij macca ss ww unatak nn mkuu
Kwani akienda yeye kuhiji, sisi mashabiki wa madrid inatusaidia nini?
 
Nimekuja kugundua hii tuzo bila kucheza Barcelona au real Madrid hupewi hii tuzo utaisikia au wataanzisha zengwe kama walilomfanyia Lewandowski kipindi kile
 
Tuzo za mchongo kama hachezi Barcelona au real Madrid sahau
 
Nimekuja kugundua hii tuzo bila kucheza Barcelona au real Madrid hupewi hii tuzo utaisikia au wataanzisha zengwe kama walilomfanyia Lewandowski kipindi kile
George Weah hakucheza Barca wala Madrid. Ronaldo akiwa Manchester United alipewa.
 

Acha pumba wewe, Benzema ni mmoja ya washindi bora kabisa kuwahi kutokea kwenye hizi tunzo. Performance yake ya msimu uliomaliza ilikua ni moja ya Best Ever.
 
W
list ingeandaliwa after world cup.yashapita tyar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…