Hafla ya Tuzo za Ballon d'Or 2022 (Oktoba 17, 2022), Benzema ashinda Tuzo ya Ballon d’Or 2022

W
list ingeandaliwa after world cup.yashapita
AMedeserve kupta hi Tuzo.. Hii ni changmoto kwetu vijana we need to fight until last breath. Miaka almost 35 kachukua Tuzo.

Mwaka Jana Lewandowski walimnyima wakampa Messi, kuna mwaka Pia walimnyima Frank Ribery wakampa Ronaldo cr7.
Bora kizazi hiiki kimepita Kwa kweli.
 
Nimekuja kugundua hii tuzo bila kucheza Barcelona au real Madrid hupewi hii tuzo utaisikia au wataanzisha zengwe kama walilomfanyia Lewandowski kipindi kile
Hata Frank Ribery alifanyiwa figisu akapewa CR7 nadhan 2012 hiv
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…