Mimi nimekupa facts.
Mwaka 2010 Messi alipewa tuzo lakini hakustahili mbele ya Iniesta.
Mwaja huu 2023 Messi anastahili haijarishi atapewa ama hatapewa.
Mpira ulikua unaangalia ukiwa umegeuka nyuma ama?
2010 hio ulitaka apewe iniesta kisa tu kafunga goli la ushindi world cup ?. Sasa si tutawapa mpaka kina gotze ballon d or kama ndo ivyo.
2010 ni world cup year huyu iniesta kwenye hivi vipengele vyote hakuwepo then unataka kusema alidhulumiwa
1: Golden ball ( Diego forlan , Wesley sneijdner,David Villa) . Kwenye golden ball ambayo ndio award anayopewa best player of world cup tournament huyo iniesta hakuwepo hata 3 bora .
2: Golden boot ( thomas muller, David villa, wesley sneijdner ) . Hio ni top scorer wa world cup 2010
3: Most assist 2010 world cup( Kaka , thomas muller, Mesut ozil)
Nembu tuonyeshe kipi hasa alifanya iniesta 2010 mpaka useme alistahili kupewa tuzo mwaka huo zaidi ya winning goal.
2010 mchezaji ambaye alikuwa na msimu bora zaidi ya wachezaji wengine alikua ni wesley sneijdner .
Unaweza ukawa una msimu bora as individual lakini msimu wako bora usiwe sawa na msimu wa kawaida wa messi .
Kwa mbali sana labda useme ni sneijdner tunaweza kukufikiria na si kutuambia iniesta acha kuhadithiwa mpira.