Hafla ya Ugawaji wa Tuzo za Ballon d’Or 2023

Individual performance inatokana na ubora wa timu na wachezaji unaocheza nao, Ronaldo alienda man U kwa mara ya pili akiwa bora sana lakini aliangushwa na akina magwaya

Acha kumsingizia magwaya bana maana mmeshamfanya maguire scapegoat kila lawama anapewa yeye[emoji23].
Ronaldo alikuwa bora sana alikuwa na goli ngap msimu huo? 2018 alichukua modric ronaldo still akiwa ni real madrid player vipi na hapo?
Hata messi kina higuain washamuangusha sana saivi angekuwa na world cup ya pili na hawa kina lautaro wanakosa magoli waziwazi kabisa .
 
Man of the match anachaguliwa ndani ya dk 90 za kwanza. Kuanzia 60 min to 90 … Kuanzia hapo hata ufunge magoli kumi hupewi man of the match.
Sina uhakika na ukisemacho ila kwa mtazamo wangu man of the match wa ile final alitakiwa kuwa mbappe kama kigezo ni kwamba anatakiwa kutoka timu iliyoshinda basi alitakiwa kuwa martinez yule kipa wa argentina na aston villa.
 
So far kombe la world cup hajachukua, ni heshima kubwa sana iyo bila kuchukua ilo kombe kuna kitu unapungukiwa kwenye CV
 
Hio ni edit tu ilipostiwa tweeter, sio kweli,
Hiv unadhani ni kweli CR7 akose hata kura za kocha wa Ureno na Captain wa Ureno ?
Kepteni wa ureno ni yeye mwenyewe kwa mujibu wa utaratibu hawezi kujipigia kura labda kocha wa ureno ampie kura ila inawezekana nae pia aliamua kumtosa, uzuri wa hizi tuzo kura zipo open unaweza kuangalia nani alimpigia kura nani
 
Naona umekariri kitu.
Uwe una soma na kuelewa kwanza kinachozungumzwa kabla ya kuchambua.
Mjadala ulikuwa mahsusi kuhusu Messi vs Iniesta mwaka 2010. Nami nikajibu, kwa wakati ule Messi hakustahili tuzo mbele ya Iniesta. Sikusema mchezaji yupi (katika wachezaji wote waliowika) nani angestahili tuzo.
 
Sina uhakika na ukisemacho ila kwa mtazamo wangu man of the match wa ile final alitakiwa kuwa mbappe kama kigezo ni kwamba anatakiwa kutoka timu iliyoshinda basi alitakiwa kuwa martinez yule kipa wa argentina na aston villa.

Huwezi kuwa man of the match kwa kuonekana dk 10 tu ndani ya dk 90 .. Mbappe was no where to be seen in the first 80 minutes . Alikuja kuonekana kwenye magoli tu ambapo ilikuwa ndani ya dk hizo za mwisho. France hawakuwa hata na shot on target kipindi cha kwanza hata Added time ingawa haihesabiki ila bado messi alimfunika mbappe.
 
Kolo muani
 
Anyway ashukuriwe Ronaldo, asingekuwepo yule mwamba kumchallenge messi kwa miaka yote hiyo, huyu jamaa hizo ballon d'or angekua nazo hata 15
Hawa jamaa ni kama walisoma post yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…