Ningekuwa na gari ningekuwa nazunguka
 
Kuna theory moja sijui hii ni ya ukweli iko hivi; ikitoka awamu ya kiongozi imara, mchapa kazi na asiyetaka mchezo kwenye kazi basi awamu inayofuata itakuwa goigoi na yenye kuchezewa na wapiga deal hadi wananchi washangae!!

Sijui upo ukweli?
Wanasema unabana halafu unaachia unabana tena halafu unaachia ndio maisha kibongo bongo tutafika.
 
Leo pale kivukoni wamezuia magari na kuleta usumbufu mkubwa kwa wananchi ili uweza kufanya hiyo hafla ya utiaji saini,ukiliangalia hili jambo kiundani utakuja kugundua inaonyesha wazi wazi jinsi viongozi wetu wa zama hizi
Wahuni tu mbona mikataba ya madini na gas hawakufanyia hadharani
 
Mtoa mada muongo.
Magari yanapita Kivukoni kama kawaida
 
Kuna theory moja sijui hii ni ya ukweli iko hivi; ikitoka awamu ya kiongozi imara, mchapa kazi na asiyetaka mchezo kwenye kazi basi awamu inayofuata itakuwa goigoi na yenye kuchezewa na wapiga deal hadi wananchi washangae!!

Sijui upo ukweli?
100% correct
 
Tuna viongozi washamba wasio na maono makubwa ndio maana wao hata matengenezo ya kivuko ni issue kubwa kwao.
 
Tuna viongozi washamba wasio na maono makubwa ndio maana wao hata matengenezo ya kivuko ni issue kubwa kwao.
 
Tunaongozwa na waswahili wa pwani huo ndio utamaduni wao
 
Hiyo MV Kazi unaambiwa imekarabatiwa kwa takribani bilioni mbili na ushee na imetumia mwaka mmoja na miezi kadhaa, hiyo MV Magogoni nadhani itafika hata kwenye bilioni tisa huko na inaweza karabatiwa kwa miaka hata mitatu. Black colour ni laana
 
Watakibeba au kitatembea chenyewe? Kwanini kisifanyiwe matengenezo hapahapa, kuna kaharufu ka upigaji.
 
Ni upuuzi tuu unakuta kiongozi mkubwa wa nchi anashiriki hafla ya kugawa magodoro sijui bibi, magari, baiskeli. Ni ujinga tuu.

Wanaamini kupitia hizo shughuli ndio kunawapa mileage ya kuonekana utendaji kazi wao. Matokeo yake siasa zinazidi kutawala utendaji.

Subiri hafla ya kupokea vichwa vya treni, hafla ya kuwasha treni.

Ni vitu vya dakika kukata utepe na kutembea ila hadi michambano
 
Kazi Tunayo
 
Mazuri ya JPM tumeyasahau ila tumebeba Upuuzi wa kipindi kile..., Hii Tabia nilikuwa naipigia kelele tangia awamu iliyopita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…