Hafla ya utiaji saini Mkataba wa Ukarabati wa Kivuko cha MV Magogoni
Ni Tanzania pekee ambapo MV Mwanza meli imetengenezwa na kukamilika ndani ya nchi lakini kivuko kilichotengenezwa nchini kinaenda kufanyiwa servise nchini Kenya so sad.
 
Viongozi wetu hawana hata chembe ya uzalendo. Muda wote wanawaza ufisadi tu.
 
wana enjoy wanajua bunge la ccm haliwezi kuhoji....ndio wananchi wanaamua kuhoji wenyewe bila kutegemea bunge
 
Mzee mgaya amerudi?
Alikuwa wapi? Alipotea ghafla baada ya kifo cha jiwe!
Nakumbuka Kivuko hiki kilikuwa tia Maji tia Maji tangu enzi za Nyerere

Tupo hapa na mzee Mgaya tunajiuliza hiki Kivuko bado kipo hadi leo?

Hatari sana!
 
Dr. Mollel yuko sahihi kwa asilimia mia.

359111FF-CFE4-4410-9EBD-C004388BDFBE.jpeg
 
Mpotoshaji

Hilo zoezi lishafanyika jana na ilikuwa kuweka saini mkataba
 
Wangenunua lidubwana jingine tu.

Kwahiyo hapo, Temesa wameomba fungu la kurekebisha, wizara ikajiridhisha, ikabariki sio?

Hivi, kwanini CAG asihusishwe kuanzia hapo? Ili kama kuna figisu, tuzibe ufa kuliko kwenda kukagua madudu yaliyofanyika ambayo kimsingi hatufanyi chochote hata tukigundua ujinga huo?

Au ndo mambo ya kitaalamu sana, maana utasikia sijui, bid, pmu, ppra, wizara n.k walihusika, kamati ya bunge wanajua, bunge likaridhia kuwa bajeti yake ilipitishwa...
 
Na kwani pale daraja ni sh.ngapi kujenga jamani??si bora tutandike daraja ata la flyover ili kupisha Boat zinazopita chini kama zipo
 
Back
Top Bottom