Hai: Aliyekuwa Diwani wa CHADEMA aachiwa huru kwa tuhuma za kumbaka Mwanafunzi baada ya DNA kuonesha Mtoto aliyezaliwa sio wake

Kwa mahakama zetu kesi inaishia hapo. Maana inaonekana kabisa mpango ulisukwa
Inamaana mwanafunzi aliyebakwa hatapata haki yake?

Si mwanafunzi kabakwa?

Japo hajabakwa na mtajwa hapo awali ila yupo aliyembaka,atafutwa basi.
 
Binti ana kesi ya kujibu. Baba tarajiwa imesthibika si yeye! Kaidanganya mahakama
Wakapime tena. DNA test inatakiwa kufanyika zaidi ya mara moja thn ndo mnaoanisha vipimo. Ila kinadharia inaonekana Diwani alikula huyo mtoto japo siyo kwa kumbaka. Mahakama inabidi itumie busara ili huyo mtoto apate malezi ya babaake.
 
Mahakama hakuna inaposema DNA inapimwa mara mbili la sivyo asingeachiwa huru....
 
Inawezekana alimbaka lkn hakumtia Mimba.

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Wakapime tena. DNA test inatakiwa kufanyika zaidi ya mara moja thn ndo mnaoanisha vipimo. Ila kinadharia inaonekana Diwani alikula huyo mtoto japo siyo kwa kumbaka. Mahakama inabidi itumie busara ili huyo mtoto apate malezi ya babaake.
Daah mbona diwan kajitetea kubambikiziwa.

Vipimo vya Dna kama ushahidi mahakaman. Nafikiri vinapimwa mara tatu... Ili kujiridhisha.

Nafikiri.... Huyo dent atakuwa alipangwa.
 
Back
Top Bottom