Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa mahakama zetu kesi inaishia hapo. Maana inaonekana kabisa mpango ulisukwaHivyo basi atafutwe muhusika wa ubakajj na mwenye mtoto.
Inamaana mwanafunzi aliyebakwa hatapata haki yake?Kwa mahakama zetu kesi inaishia hapo. Maana inaonekana kabisa mpango ulisukwa
[emoji115][emoji115]I appreciate[emoji116][emoji116]Kwa mahakama zetu kesi inaishia hapo. Maana inaonekana kabisa mpango ulisukwa
Inamaana mwanafunzi aliyebakwa hatapata haki yake?
Si mwanafunzi kabakwa?
Japo hajabakwa na mtajwa hapo awali ila yupo aliyembaka,atafutwa basi.
huyo mwanafunzi hajitambui, huko kubakwa ndio halali yake, shenziInamaana mwanafunzi aliyebakwa hatapata haki yake?
Si mwanafunzi kabakwa?
Japo hajabakwa na mtajwa hapo awali ila yupo aliyembaka,atafutwa basi.
😂 😂 😂hii yote ni legecy ya hayati wetu. ambaye anaitwa shujaa wa africa
Aibu snLegacy ya Mwendazake itakuwa Wasiojulikana,Ubambikaji wa Kesi,Mauwaji ya Watanzania,Hasara za Mabilioni,na Ununuaji wa Wanasiasa haswa wa Chadema.
Mavi ya Afrikahii yote ni legecy ya hayati wetu. ambaye anaitwa shujaa wa africa
Hata wewe ni mshirika mkubwa wa madhalimu yaliyowapata watanzania kipindi cha marehemu mshamba
Wakapime tena. DNA test inatakiwa kufanyika zaidi ya mara moja thn ndo mnaoanisha vipimo. Ila kinadharia inaonekana Diwani alikula huyo mtoto japo siyo kwa kumbaka. Mahakama inabidi itumie busara ili huyo mtoto apate malezi ya babaake.Binti ana kesi ya kujibu. Baba tarajiwa imesthibika si yeye! Kaidanganya mahakama
Mahakama hakuna inaposema DNA inapimwa mara mbili la sivyo asingeachiwa huru....Wakapime tena. DNA test inatakiwa kufanyika zaidi ya mara moja thn ndo mnaoanisha vipimo. Ila kinadharia inaonekana Diwani alikula huyo mtoto japo siyo kwa kumbaka. Mahakama inabidi itumie busara ili huyo mtoto apate malezi ya babaake.
Ndio maana ibilisi akapita na mwendazakekwa kweli nchi kama nchi.....
tulifika mahali pa ovyo....sana....
hebu turudi... Tulikokuwa huku tulikotaka kwenda siyo sawa
Daah mbona diwan kajitetea kubambikiziwa.Wakapime tena. DNA test inatakiwa kufanyika zaidi ya mara moja thn ndo mnaoanisha vipimo. Ila kinadharia inaonekana Diwani alikula huyo mtoto japo siyo kwa kumbaka. Mahakama inabidi itumie busara ili huyo mtoto apate malezi ya babaake.