Hai, Kilimanjaro: Komandoo Adamoo na wenzake wazawadiwa ng’ombe dume kila mmoja

Hai, Kilimanjaro: Komandoo Adamoo na wenzake wazawadiwa ng’ombe dume kila mmoja


Makomandoo hao ambao ni Walinzi wa Freeman Mbowe kwa kinachoitwa ( VIP PROTECTION ), waliokamatwa na kuwekwa Gerezani kwa miezi mingi, leo wamefika Hai Mkoani Kilimanjaro pamoja na Mtuhumiwa mwenzao Mbowe, aliyeenda huko kutoa Sadaka ya Shukrani kwenye Kanisa la KKKT Nshala Machame

Pamoja na kuzawadiwa ng'ombe dume wakubwa kabisa kila mmoja, pia wamepewa BAHASHA NZITO NZITO SANA kila mmoja , ambazo ndani yake haifahamiki mmewekwa nini.

Zawadi hizo zote zimetolewa na Wazee wa Machame kama sehemu ya Shukrani zao kwa Makomandoo hao kwa Uaminifu wao kwa Mbowe kutokana na kinachoitwa Kukataa kutoa Ushahidi wa Uongo ili ionekane Mbowe ni Gaidi hata baada ya kuteswa sana kuliko karibia kifo , uaminifu wa Makomandoo hawa umewapa heshima kubwa sana mbele ya Jamii.

.
Jina la Kristo lihimidiwe
 
Sawa hata mamvii alisema kama wewe lkn baadae alirudi
Je na wewe huwez kurud huko ccm baadae??
Maana kilicho kuvutia ni hao komandoo
Sio sera za chadema
Kwani wewe upo CCM kwa kuvutiwa na Sera zake au kwavile kipo madarakani kinaweza kukuchotea hela ya serikali?
 
Itabidi ianzishwe campaign rasmi ya where is Lijenje tujue alipo na kama alikufa waliomuua wafikishwe mahakamani.
Bado kuna mengi sana ya kufuatiliwa watu wajue: kwa mfano, Ben Saanane. Nani aliyemteka MO na kwa sababu gani? Risasi 16 alizopokea Lissu...
 
1. Sirro hana amani
2. Kingai anahofu
3. Urio hajiwezi
4. Dada wa Rau ana mashaka na maisha yake
Sirro ana maswala mengi ya kujibu kufafanua
1.Polisi aiyetamka kuwa Mbowe hawezi kushinda
1647783214914.png


2. Yote waliyoropoka kuhusu Mbowe
1647783576095.png


3. Ypte waliyozusha kuhusu Lema
1647784107025.png
 
Back
Top Bottom