Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 67,252
- 168,563
Dah huzuni sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah huzuni sana
Eneo ni Sanya chini, Wilaya ya Hai, mkoani Kilimanjaro baada ya serikali kuagiza nyumba hizo kubomolewa.
Malisa
Hapo sababu ni Kupisha uwanja wa ndege KiA ambao inasemekana unakabidhiwa kwa Waarabu wa OMAN..Kwanini serikali imeagiza zibomolewe?
Serikali ya awamu ya Tano ni serikali ya Haki .haiwezi kumuonea mtu na kumpoka haki zakeHapo sababu ni Kupisha uwanja wa ndege KiA ambao inasemekana unakabidhiwa kwa Waarabu wa OMAN..
Team chawa watakwambia mama anaupiga mwingi na amewafikia wanyonge.
Mi5 tena kwa mama
Cc: Lucas Mwashambwa njoo huku utie neno