Hai, Kilimanjaro: Mama na watoto wake walia kwa uchungu baada ya nyumba yake kubomolewa na serikali

Hapo sababu ni Kupisha uwanja wa ndege KiA ambao inasemekana unakabidhiwa kwa Waarabu wa OMAN..

Team chawa watakwambia mama anaupiga mwingi na amewafikia wanyonge.

Mi5 tena kwa mama
Cc: Lucas Mwashambwa njoo huku utie neno
Serikali ya awamu ya Tano ni serikali ya Haki .haiwezi kumuonea mtu na kumpoka haki zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…