Tetesi: Hai, Kilimanjaro: Mgomo kuhusu malipo ya semina ya sensa

Tetesi: Hai, Kilimanjaro: Mgomo kuhusu malipo ya semina ya sensa

Hao watalipwa tuu na wanalipa pesa ya siku tano tuuu, 210000 au 212000 kulingana na kituo. Lazimwa ukopwe ili usikimbie kazi na hiyo kazi ni ngumu haswa bila uzalendo huwezi fanya, ni moja ya kazi ngumu Sana kuikamilisha angalau Kwa 90%
 
Wasigome bali wachague wawakilishi wao wafuatilie kupeleka kilio juu
 
Hao watalipwa tuu , na wanalipa pesa ya sku tano tuuu , 210000 au 212000 kulingana na kituo , lazimwa ukopwe ili usikimbie kazi , na hyo kazi ni ngumu haswa bila uzalendo huwez fanya , ni moja ya kazi ngumu Sana kuikamilisha angalau Kwa 90%
Mbona leo ni zaidi ya hizo siku tano?!

Wanajikimu vipi hao watu?
 
Ni sehemu ya masomo

Zamani ilifanyika hivyo

Sass unadhani hao akina meku hapo Hai wataendesha zoezi kwa usahihi wakati wanawaza hela?!!
We jiulize zaidi ya siku 10 watu hawalipwi chochote na wanazugwa kila uchwao.
 
Back
Top Bottom