Tetesi: Hai, Kilimanjaro: Mgomo kuhusu malipo ya semina ya sensa

Tetesi: Hai, Kilimanjaro: Mgomo kuhusu malipo ya semina ya sensa

Kazi yoyote ya umma sio chanzo cha utajiri.Ukitaka utajiri, jiajiri.Vinginevyo utakuwa mfano.Alisikika mlevi mmoja pale mlima Ngerekwa
 
Na mbaya zaidi wamepewa jobless..hapo zingatia maumivu..hao hawana uzalendo ila wapo kimaslahi zaidi..mana kilichowapeleka hapi ni njaa..ndio mana wanataka waanze mgomo.

#MaendeleoHayanaChama
Wewe unalako jambo, walimu hawajahusishwa?
 
Back
Top Bottom