Tetesi: Hai, Kilimanjaro: Mgomo kuhusu malipo ya semina ya sensa

Tetesi: Hai, Kilimanjaro: Mgomo kuhusu malipo ya semina ya sensa

Hao watalipwa tuu , na wanalipa pesa ya sku tano tuuu , 210000 au 212000 kulingana na kituo , lazimwa ukopwe ili usikimbie kazi , na hyo kazi ni ngumu haswa bila uzalendo huwez fanya , ni moja ya kazi ngumu Sana kuikamilisha angalau Kwa 90%
Kabisa mkuu, matumizi ya vishkwambi yanarahisisha na kuokoa muda tu lakini kazi iko pale pale.
 
Hao watalipwa tuu , na wanalipa pesa ya sku tano tuuu , 210000 au 212000 kulingana na kituo , lazimwa ukopwe ili usikimbie kazi , na hyo kazi ni ngumu haswa bila uzalendo huwez fanya , ni moja ya kazi ngumu Sana kuikamilisha angalau Kwa 90%
Na mbaya zaidi wamepewa jobless..hapo zingatia maumivu..hao hawana uzalendo ila wapo kimaslahi zaidi..mana kilichowapeleka hapi ni njaa..ndio mana wanataka waanze mgomo.

#MaendeleoHayanaChama
 
Serikali imeishatenga fungus la sensa 100% ila Kuna wajanja wameziweka kwenye fixed account ili wavune riba kwanza...mtalipwa kabla ya Krismasi...alisokika sukuma gang mmoja akisema!
 
Hawa wakamatwe, kukwamisha sensa ni sawa na uhaini, vyombo vya dola viwachukulie hatua stahiki wote watakaoshiriki katika mgomo huo !
 
Katika kazi ngumu za serikali mwaka huu,hii inaongoza...[emoji23] na hapo tu ni mfano wa kaya 1 na una maswali zaidi ya 100 ya kuwadodosa..[emoji3578][emoji1487][emoji23][emoji1493]
1660187680003.jpg
 
Mbona leo ni zaidi ya hizo siku tano?!

Wanajikimu vipi hao watu?
Sijui tu huwa serikali inatuonaje watu wake...nasi jana tumelipwa ila kwa mbinde sana...[emoji23] had tuliwaambia kuwa watu wa lodge wanataka kutuny'anyanya vishikwambi
 
Ni sehemu ya masomo

Zamani ilifanyika hivyo

Sass unadhani hao akina meku hapo Hai wataendesha zoezi kwa usahihi wakati wanawaza hela?!!
Yaa serikali ingekuwa imepiga bao kwa kuwatumia wanafunzi wa sekondari kwenye sensa na inawapa exposure ya mazingira ya kazi ndani ya jamii pindi watakapohitimu masomo yao.
 
Ni sehemu ya masomo

Zamani ilifanyika hivyo

Sass unadhani hao akina meku hapo Hai wataendesha zoezi kwa usahihi wakati wanawaza hela?!!

Hao wanafunzi wanaoongezewa marks ili ionekane shule zinafaulisha sana?
 
Lakini si ma-kada ndo walikuwa wanachaguana? Mbona mmeanza kutafuna?
 
Watalipwa tu uvccm si ni wengi kwenye hiyo kazi....watalipwa
 
Sijui tu huwa serikali inatuonaje watu wake...nasi jana tumelipwa ila kwa mbinde sana...[emoji23] had tuliwaambia kuwa watu wa lodge wanataka kutuny'anyanya vishikwambi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Leo unatarajiwa kufanyika mgomo kuanzia mchana na watu waliopewa semina ya sensa kudai malipo yao ya zaidi ya siku 10. Watu wamejipanga ikifikia hadi mchana wa leo hawajalipwa watagomea semina hiyo.
Wakigoma wanafukuzwa tunaletwa sisi
 
Back
Top Bottom