Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,067
- 6,200
Chakula kitatoa na nauli ya kutoka majumbani kwao na kurejea pia?!Kama chakula mnapewa endelea na kuseminishwa wakati mkiandaa mashtaka.
Hiii Sensa ingefanywa na wanafunzi wa shule za sekondari
Ni sehemu ya masomoWanafunzi wa shule za sekondari ndio hufanya kazi bure?
Mbona leo ni zaidi ya hizo siku tano?!Hao watalipwa tuu , na wanalipa pesa ya sku tano tuuu , 210000 au 212000 kulingana na kituo , lazimwa ukopwe ili usikimbie kazi , na hyo kazi ni ngumu haswa bila uzalendo huwez fanya , ni moja ya kazi ngumu Sana kuikamilisha angalau Kwa 90%
Shida hawataki kulipa pesa za watu za semina ya sensa.Huko hai kuna shida gani
We jiulize zaidi ya siku 10 watu hawalipwi chochote na wanazugwa kila uchwao.Ni sehemu ya masomo
Zamani ilifanyika hivyo
Sass unadhani hao akina meku hapo Hai wataendesha zoezi kwa usahihi wakati wanawaza hela?!!
Huku tumeshalipwa awamu moja,Shida hawataki kulipa pesa za watu za semina ya sensa.
Sensa iko kizalendo zaidiWe jiulize zaidi ya siku 10 watu hawalipwi chochote na wanazugwa kila uchwao.