Tetesi: Hai, Kilimanjaro: Mgomo kuhusu malipo ya semina ya sensa

Kazi yoyote ya umma sio chanzo cha utajiri.Ukitaka utajiri, jiajiri.Vinginevyo utakuwa mfano.Alisikika mlevi mmoja pale mlima Ngerekwa
 
Hivi lini uzalendo ulibadilika, kutoka kukubali ujira kidogo mpaka kukubali kufanya kazi bila ujira
 
Na mbaya zaidi wamepewa jobless..hapo zingatia maumivu..hao hawana uzalendo ila wapo kimaslahi zaidi..mana kilichowapeleka hapi ni njaa..ndio mana wanataka waanze mgomo.

#MaendeleoHayanaChama
Wewe unalako jambo, walimu hawajahusishwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…