Hai yalipuka kwa shangwe baada ya Mbowe kutangaza Mama Samia amechangia milioni 150 Ujenzi wa Kanisa Hai

Just curious kwamba Bulaya na Halima Mdee walikuwa pamoja na Mnyika na Mbowe kanisani!
Shangwe zilikuwa kubwa sana walipotambulishwa.Inaashiria nini?
Mkuu hapo biashara imeisha hiyoo
 
Msitgemee upinzani wa Chadema, act, na vyama vingine , hatuna upinzani Tz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…