Hai: Zaidi ya Wafanyabiashara 36 wathibitisha kuwa na Nyaraka za uhakika kuthibitisha tuhuma za Sabaya. Waomba kukutana na mamlaka inayomchunguza

inaelekea alikua mafia fulani...ikiwezekana wamchunguze kwenye madawa ya kulevya
 
Huyu atafungwa miaka mingi sana, kwa TAKUKURU ya CP Hamduni, sina shaka nayo kabisa
 
Habari zinasema Baba yake pia alikuwa akiwapiga Wamasai mpaka haja kubwa inawatoka bila kujijua hawa System imewadekeza

Ukiiacha Nchi ipelekwe ki Intarahamwe basi jua mgogoro wa sisi kwa sisi hauko mbali

Asante Samia umetuepusha na hilo
 
Wamefanya vizuri ili ifahamike mbivu na mbichi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…