Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 11,884
- 21,175
Hiyo tunaita shida, siyo tatizo au changamoto🤣🤣🤣 Shida haitatuliwi kwa ushauri.ishu inakuja tatizo linahusu hela.
😂😂 mtu anakuambia hajala hana hela we unamshauri nini? Si bora ukimbieHiyo tunaita shida, siyo tatizo au changamoto🤣🤣🤣 Shida haitatuliwi kwa ushauri.
Na ni hela kiasi ganiishu inakuja tatizo linahusu hela.
Tusichokielewa tulio wengi ni kuwa, 'wazo' ni jambo linalozalishwa na ubongo wa mtu.Kawaida masikini huwa wanapenda sana kutoa ushauri hasa kwa matajiri wakati yeye choka mbovu
Upo sahihi, sana sana wanawake, kuna manzi mmoja nilikua na mahusiano nae mazuri sana tu sasa kuna siku akaniletea kesi moja fulani ya yeye na ndugu yake fulani wa kike kwamba huyo ndugu yake kuna vitu vitu anamfanyia sio vizuri na yeye hapendi huyo ndugu yake kumfanyia hivyo vitu si nikajikologa nikatoka kumpa ushauri ili tu nimalize mzozo wake nikamwaga lecture safi kabisa nikajua nimefanya kitu kizuri kitu chema jambo jema kumbe nimeharibu manzi akaanza kunichukia mimi rasmi yaan ile chuki haswa mpaka ya kupigwa na block juu nikiuliza sababu eti ni hio nimekua km nimeegemea upande wa yule niliekua namwambia asiendelee kumchukia yaan manzi akaniona km sijakaa upande wake vile kwa hio yeye alitaka yule alieniletea malalamiko yake aidha nimfanye kitu mbaya au nimuanzishie zogo kitu ambacho mimi siwezi kukifanya,Wengine wanataka tu mtu wa kumsikiliza ajihisi nafuu. We kukimbilia kumshauri ni kama unadogosha tatizo lake. Unakuwa kama unamuona hana akili anahangaika na katatizo kadogo ambako wewe unaweza kusolve ndani ya dk chache tu.
Umenena vyema sana mkuu.Upo sahihi, sana sana wanawake, kuna manzi mmoja nilikua na mahusiano nae mazuri sana tu sasa kuna siku akaniletea kesi moja fulani ya yeye na ndugu yake fulani wa kike kwamba huyo ndugu yake kuna vitu vitu anamfanyia sio vizuri na yeye hapendi huyo ndugu yake kumfanyia hivyo vitu si nikajikologa nikatoka kumpa ushauri ili tu nimalize mzozo wake nikamwaga lecture safi kabisa nikajua nimefanya kitu kizuri kitu chema jambo jema kumbe nimeharibu manzi akaanza kunichukia mimi rasmi yaan ile chuki haswa mpaka ya kupigwa na block juu nikiuliza sababu eti ni hio nimekua km nimeegemea upande wa yule niliekua namwambia asiendelee kumchukia yaan manzi akaniona km sijakaa upande wake vile kwa hio yeye alitaka yule alieniletea malalamiko yake aidha nimfanye kitu mbaya au nimuanzishie zogo kitu ambacho mimi siwezi kukifanya,
lastly mtu yoyote akija kwako kukueleza issue zake au jambo lake hua hataki kabisa ushauri wako kikubwa anachokitaka ni wewe kumsikiliza na kukaa upande wake tu basi mengine mwachie mwenyewe ili kuitatua changamoto yake km ni issue ya kifedha basi acha maneno mengi km unayo mpe km huna mwambie tu sina kisha ishia hapo acha kumjazia maushauri utaishia kumkwadha zaidi tu
Nishaishiwa maneno ya kuandika.
Tumekubaliana tusikimbilie kushauri.Kwahiyo tumekubaliana tusishauri, bali tusikilize tu na kusikitika.
SahhInategemeana naye kajaje
Mheshimu sana daktari unayemueleza ugonjwa kisha anaanza kukuna kichwa au kufungua mavitabu.Sasa ukimwambia kweli hilo ni tatizo maana yake si nawe linaonekana kukulemea!.
Lazima ulidogoshe ili umpe kujiamini mwenye tatizo halisi ajue kweli una dawa yake.
Sasa kama daktari unaletewa mgonjwa kisha unaanza kukuna kichwa hapo mgonjwa lazima ahisi kazi anayo.