Lema hamna kitu mle. Jamaa ni mtupu sana kichwani. Maneno anayoongea aibu utaona mwenyewe. Jamaa anajisifia ujinga sana. Anamwambia Mange eti anahamasisha maandamano na haji kuwazika wanaouawa. Yaani yeye badala ailaumu serikali kwa mauaji anamlaumu anayehamasisha maandamo. Kwa hiyo Lema hajui maandanamo ni haki ya kikatiba.
Eti Mange haji kuzika, seriously! Kwa hiyo Mange angekuja kuzika ndio angekuwa na haki ya kuhamasisha maandamano? Lema anajisifu familia yake kuwa raia wa Canada! Hivi huyu jamaa ana elimu gani? Haya mambo ni ya watu primitive sio kwa msomi! Ni jambo la aibu kujisifia kuwa raia wa Canada. Juzi kati pia alikuwa anajisifia kuhusu watoto wake kutosoma shule za serikali ya Tanzania.
Of course elimu inayotolea na shule za serikali haina ubora ila huwezi kupanda jukwaani na kuanza kuponda na kujisifia watoto wako hawawezi kusoma shule za kayumba. Jamii ya watanzania asilimia kubwa ni maskini, hawana uwezo wa kupeleka watoto shule za kulipia. Unapoongea maneno haya unatuma message gani kwa hili kundi kubwa la watanzania. Tunajua umaskini wetu umesababishwa na serikali ya ccm lakini huwezi kuanza kuwatambia wale wasiokuwa na uwezo wa kupeleka watoto shule binafsi.
Lema ni zero brain. Zero brain akipata anazuzuka. Watoto kuishi Canada na yeye kujifunza vikiingereza vya ukubwani amekuwa limbukeni kabisa