Haihitaji kuwa genius kutambua Lema hayuko sawa

Lema hamna kitu mle. Jamaa ni mtupu sana kichwani. Maneno anayoongea aibu utaona mwenyewe. Jamaa anajisifia ujinga sana. Anamwambia Mange eti anahamasisha maandamano na haji kuwazika wanaouawa. Yaani yeye badala ailaumu serikali kwa mauaji anamlaumu anayehamasisha maandamo. Kwa hiyo Lema hajua maandanamo ni haki ya kikatiba.

Eti Mange haji kuzika, seriously! Kwa hiyo Mange angekuja kuzika ndio angekuwa na haki ya kuhamasisha maandamano? Lema anajisifu familia yake kuwa raia wa Canada! Hivi huyu jamaa ana elimu gani? Haya mambo ni ya watu primitive sio kwa msomi! Ni jambo la aibu kujisifia kuwa raia wa Canada. Juzi kati pia alikuwa anajisifia kuhusu watoto wake kutosoma shule za serikali ya Tanzania.

Of course elimu inayotolea na shule za serikali haina ubora ila huwezi kupanda jukwaani na kuanza kuponda na kujisifia watoto wako hawawezi kusoma shule za kayumba. Jamii ya watanzania asilimia kubwa ni maskini, hawana uwezo wa kupeleka watoto shule za kulipia. Unapoongea maneno haya unatuma message gani kwa hili kundi kubwa la watanzania. Tunajua umaskini wetu umesababishwa na serikali ya ccm lakini huwezi kuanza kuwatambia wale wasiokuwa na uwezo wa kupeleka watoto shule binafsi.

Lema ni zero brain. Zero brain akipata anazuzuka. Watoto kuishi Canada na yeye kujifunza vikiingereza vya ukubwani amekuwa limbukeni kabisa
Wajamèni Lema mwoneèni huruma.Hapa siyo tu huenda,yùpo kwen̈ye shinikiźo la wahuni kupigwa kesi ya uhaini na kufilisiwa mali zote ama kuteķwa na kupotezwa kama wengine.N̈a huenda yupo kwenye shinikizo aķìsema neno tofauti na maelekezo cha mtemakuni kina mhusu.Hùo umekuwa mwendo wa kibongo bongo🫣
 
Lema hamna kitu mle. Jamaa ni mtupu sana kichwani. Maneno anayoongea aibu utaona mwenyewe. Jamaa anajisifia ujinga sana. Anamwambia Mange eti anahamasisha maandamano na haji kuwazika wanaouawa. Yaani yeye badala ailaumu serikali kwa mauaji anamlaumu anayehamasisha maandamo. Kwa hiyo Lema hajui maandanamo ni haki ya kikatiba.

Eti Mange haji kuzika, seriously! Kwa hiyo Mange angekuja kuzika ndio angekuwa na haki ya kuhamasisha maandamano? Lema anajisifu familia yake kuwa raia wa Canada! Hivi huyu jamaa ana elimu gani? Haya mambo ni ya watu primitive sio kwa msomi! Ni jambo la aibu kujisifia kuwa raia wa Canada. Juzi kati pia alikuwa anajisifia kuhusu watoto wake kutosoma shule za serikali ya Tanzania.

Of course elimu inayotolea na shule za serikali haina ubora ila huwezi kupanda jukwaani na kuanza kuponda na kujisifia watoto wako hawawezi kusoma shule za kayumba. Jamii ya watanzania asilimia kubwa ni maskini, hawana uwezo wa kupeleka watoto shule za kulipia. Unapoongea maneno haya unatuma message gani kwa hili kundi kubwa la watanzania. Tunajua umaskini wetu umesababishwa na serikali ya ccm lakini huwezi kuanza kuwatambia wale wasiokuwa na uwezo wa kupeleka watoto shule binafsi.

Lema ni zero brain. Zero brain akipata anazuzuka. Watoto kuishi Canada na yeye kujifunza vikiingereza vya ukubwani amekuwa limbukeni kabisa
Ukisha kubali kuwa msaliti lazima uropoke hovyo hovyo,usaliti cdm ulianza kwa mbow kumuingiza lowassa na kutumika ndani ya chukua chako sasa ndugu yake kaamua kufuata nyao za kaka yake nahis kunacheo kapewa upande wa pili jambo la muda Tu.
 
Unajua watanzania tuna kiu ya mabadiriko hivyo hata watu ambao ni watupu kichwani wakiwa tu upande wa mabadiriko tunakuwa hatuzingatii ujinga wao, ila wakishaanza tu kunusa usaliti ndio hapo tunapotambua how stupid these people were along along
 
Binafsi siwalaumu chadema wala lema wala mbowe
Wamepitia mengi.
Watawala wa ccm Mimi ndo nawalaumu.
 
Ukisikiliza kwa makini hizo so called strategic engagement zake ni pure Mbowe's bullshit.
Heche na Lisu falsafa zao ni kutopiga magoti kwa kimayoyote yule. (Magoti ni kwa Mungu tu)
 
Lema hamna kitu mle. Jamaa ni mtupu sana kichwani. Maneno anayoongea aibu utaona mwenyewe. Jamaa anajisifia ujinga sana. Anamwambia Mange eti anahamasisha maandamano na haji kuwazika wanaouawa. Yaani yeye badala ailaumu serikali kwa mauaji anamlaumu anayehamasisha maandamo. Kwa hiyo Lema hajui maandanamo ni haki ya kikatiba.

Eti Mange haji kuzika, seriously! Kwa hiyo Mange angekuja kuzika ndio angekuwa na haki ya kuhamasisha maandamano? Lema anajisifu familia yake kuwa raia wa Canada! Hivi huyu jamaa ana elimu gani? Haya mambo ni ya watu primitive sio kwa msomi! Ni jambo la aibu kujisifia kuwa raia wa Canada. Juzi kati pia alikuwa anajisifia kuhusu watoto wake kutosoma shule za serikali ya Tanzania.

Of course elimu inayotolea na shule za serikali haina ubora ila huwezi kupanda jukwaani na kuanza kuponda na kujisifia watoto wako hawawezi kusoma shule za kayumba. Jamii ya watanzania asilimia kubwa ni maskini, hawana uwezo wa kupeleka watoto shule za kulipia. Unapoongea maneno haya unatuma message gani kwa hili kundi kubwa la watanzania. Tunajua umaskini wetu umesababishwa na serikali ya ccm lakini huwezi kuanza kuwatambia wale wasiokuwa na uwezo wa kupeleka watoto shule binafsi.

Lema ni zero brain. Zero brain akipata anazuzuka. Watoto kuishi Canada na yeye kujifunza vikiingereza vya ukubwani amekuwa limbukeni kabisa

..kuhusu Mange na maandamano hujaeleza alichokisema Lema. Nashauri usikilize hotuba yote na sio vipande vipande.

..kuhusu wanae kuwa raia wa Canada, Lema ameeleza ni kwasababu ya mauza uza anayoyapitia yeye. Kikubwa kilichosababisha wakaomba uraia ni pale Baba yao aliponyang'anywa passport na serikali.

..kuhusu wanae kutokusoma shule za kata kwasababu ya viwango duni ktk shule hizo tunatakiwa kuishambulia serikali na sio Lema.

..Hakuna kiongozi wa serikali anayesomesha wanae shule za kata. Pia hata wananchi wa kawaida tukipata uwezo kidogo kitu cha kwanza tunafanya ni kupeleka watoto shule za private.

..Nashauri tusikilize Press Conference yote na sio vipande vipande.
 
Ukisikiliza kwa makini hizo so called strategic engagement zake ni pure Mbowe's bullshit.
Heche na Lisu falsafa zao ni kutopiga magoti kwa kima vyoyote yule. (Magoti ni kwa Mungu tu)

..support ya umma iko kubwa kiasi gani?

..tunataka Lissu akomae lakini hata mahudhurio mahakamani wakati mwingine hayamtii moyo.
 
Lema hamna kitu mle. Jamaa ni mtupu sana kichwani. Maneno anayoongea aibu utaona mwenyewe. Jamaa anajisifia ujinga sana. Anamwambia Mange eti anahamasisha maandamano na haji kuwazika wanaouawa. Yaani yeye badala ailaumu serikali kwa mauaji anamlaumu anayehamasisha maandamo. Kwa hiyo Lema hajui maandanamo ni haki ya kikatiba.

Eti Mange haji kuzika, seriously! Kwa hiyo Mange angekuja kuzika ndio angekuwa na haki ya kuhamasisha maandamano? Lema anajisifu familia yake kuwa raia wa Canada! Hivi huyu jamaa ana elimu gani? Haya mambo ni ya watu primitive sio kwa msomi! Ni jambo la aibu kujisifia kuwa raia wa Canada. Juzi kati pia alikuwa anajisifia kuhusu watoto wake kutosoma shule za serikali ya Tanzania.

Of course elimu inayotolea na shule za serikali haina ubora ila huwezi kupanda jukwaani na kuanza kuponda na kujisifia watoto wako hawawezi kusoma shule za kayumba. Jamii ya watanzania asilimia kubwa ni maskini, hawana uwezo wa kupeleka watoto shule za kulipia. Unapoongea maneno haya unatuma message gani kwa hili kundi kubwa la watanzania. Tunajua umaskini wetu umesababishwa na serikali ya ccm lakini huwezi kuanza kuwatambia wale wasiokuwa na uwezo wa kupeleka watoto shule binafsi.

Lema ni zero brain. Zero brain akipata anazuzuka. Watoto kuishi Canada na yeye kujifunza vikiingereza vya ukubwani amekuwa limbukeni kabisa
Nilijua Lema kachemka,ila kwa uchambuzi huu Lema ni kilaza
 
Mbona niliposoma ulichoqndika ndio umekuwa zero zaid yake sasa
 
Back
Top Bottom