Wanaishi canada kwa social services support! Ndio masikini wa ulayaLema hamna kitu mle. Jamaa ni mtupu sana kichwani. Maneno anayoongea aibu utaona mwenyewe. Jamaa anajisifia ujinga sana. Anamwambia Mange eti anahamasisha maandamano na haji kuwazika wanaouawa. Yaani yeye badala ailaumu serikali kwa mauaji anamlaumu anayehamasisha maandamo. Kwa hiyo Lema hajua maandanamo ni haki ya kikatiba. Eti Mange haji kuzika, seriously! Kwa hiyo Mange angekuja kuzika ndio angekuwa na haki ya kuhamasisha maandamano? Lema anajisifu familia yake kuwa raia wa Canada! Hivi huyu jamaa ana elimu gani? Haya mambo ni ya watu primitive sio kwa msomi! Ni jambo la aibu kujisifia kuwa raia wa Canada. Juzi kati pia alikuwa anajisifia kuhusu watoto wake kutosoma shule za serikali ya Tanzania. Of course elimu inayotolea na shule za serikali haina ubora ila huwezi kupanda jukwaani na kuanza kuponda na kujisifia watoto wako hawawezi kusoma shule za kayumba. Jamii ya watanzania asilimia kubwa ni maskini, hawana uwezo wa kupeleka watoto shule za kulipia. Unapoongea maneno haya unatuma message gani kwa hili kundi kubwa la watanzania. Tunajua umaskini wetu umesababishwa na serikali ya ccm lakini huwezi kuanza kuwatambia wale wasiokuwa na uwezo wa kupeleka watoto shule binafsi.
Lema ni zero brain. Zero brain akipata anazuzuka. Watoto kuishi Canada na yeye kujifunza vikiingereza vya ukubwani amekuwa limbukeni kabisa
Mbona wewe ndiyo unaonekana mtupu kichwani coz Lema ametoa maoni yake vizuri na kwa ustaarabu mkubwa.Lema hamna kitu mle. Jamaa ni mtupu sana kichwani.
NYUMBUNyinyi si mnamwitaga NABII? Mtume wa Mwenyezi Mungu anakua empty headed pia?πππππ
Nimecheka sanaaaπππππNabii uchwaraa, leo kayakanyaga. Aloooo.
πππ
Mange atahakikisha hadi Lissu katukanwa na kudhalilishwa. Mange huwa anajisikia raha akimsababishia binadamu mwenzake maumivu. Zamu ya Lema ikipita lazima asababishe ajali nyingine.Nabii Lema aongezewe ulinzi
Mange anasababisha watu wanakufa unaona sawatu?Lema hamna kitu mle. Jamaa ni mtupu sana kichwani. Maneno anayoongea aibu utaona mwenyewe. Jamaa anajisifia ujinga sana. Anamwambia Mange eti anahamasisha maandamano na haji kuwazika wanaouawa. Yaani yeye badala ailaumu serikali kwa mauaji anamlaumu anayehamasisha maandamo. Kwa hiyo Lema hajua maandanamo ni haki ya kikatiba.
Eti Mange haji kuzika, seriously! Kwa hiyo Mange angekuja kuzika ndio angekuwa na haki ya kuhamasisha maandamano? Lema anajisifu familia yake kuwa raia wa Canada! Hivi huyu jamaa ana elimu gani? Haya mambo ni ya watu primitive sio kwa msomi! Ni jambo la aibu kujisifia kuwa raia wa Canada. Juzi kati pia alikuwa anajisifia kuhusu watoto wake kutosoma shule za serikali ya Tanzania.
Of course elimu inayotolea na shule za serikali haina ubora ila huwezi kupanda jukwaani na kuanza kuponda na kujisifia watoto wako hawawezi kusoma shule za kayumba. Jamii ya watanzania asilimia kubwa ni maskini, hawana uwezo wa kupeleka watoto shule za kulipia. Unapoongea maneno haya unatuma message gani kwa hili kundi kubwa la watanzania. Tunajua umaskini wetu umesababishwa na serikali ya ccm lakini huwezi kuanza kuwatambia wale wasiokuwa na uwezo wa kupeleka watoto shule binafsi.
Lema ni zero brain. Zero brain akipata anazuzuka. Watoto kuishi Canada na yeye kujifunza vikiingereza vya ukubwani amekuwa limbukeni kabisa
πππ mumchukue sasa mtu wenu huyo anataka akaungane na kaka yake makengeza huko CCM mafichoni.Nimecheka sanaaaπππππ
Wewe jinga kama Lema tu. Mange ndio aliyeua waandamanaji?Mange anasababisha watu wanakufa unaona sawatu?